Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, January 30, 2011

Dhambi

Ndoto zingine bwana zinachekesha kweli,nimeota 2ko mbinguni 2mepewa karatasi kila mmoja aorodheshe madhambi yake yote,kilichonichekesha nipale niliposikia sauti yako ukisema niongezee karatasi nyingine tafadhali kwani hii haitoshi.

Kicheche

Jamaa mmoja alimpata mdada mmoja wakakubaliana kufanya mapenzi kwenye gari. Ghafla yule dada akamuambia yule kaka ''ooh samahani nilisahau kukuambia mimi najiuza na huwa namchaji mwanaume elfu 10 kwa tendo.

Na yule mwanaume akanena ''ooh hata mi lisahau mimi ni dereva taxi na huwa nacharge elfu 10 kwa abiria aina yako''

Saturday, January 29, 2011

Beki tatu

House girl akifagia chumba cha wazee akaona condomu ilo2mika, akastuka? Mama akamwambia unashangaa nini? Kwani nyie hamfanyi? Akajibu tunafanya mama ila hatutoi wanaume ngozi.

Friday, January 28, 2011

Soma hii

Bi. Harusi bikra siku moja akamuambia mumewe mie sijawahi fanya kabisa tendo. Hivyo naomba unifundishe.

Mume akakubali, ''haya tunaanza darasa, sasa tuite uke wako ni jele, uume wangu mfungwa''
Wakaanza shughuli, bi. Harusi akanogowa akawa anaomba tena huku akisema ''mfungwa katoroka''

ilipofika round ya tano alipoomba mume akajibu ''alaa we mjinga nini kwani umesikia amefungwa maisha huyu?''

Shoga

Hakim alimwambia shoga,una hatia kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Jitetee.
Shoga akajibu: Mheshimiwa Hakim samahani, mi sikujua kuwa mk***u wangu ni mali ya SERIKALI!

Kukariri kwa mtihani

Dogo mmoja alikua na test (shule za dot com) akawa anakariri sehemu za mwili wa binadamu. Akaenda sebuleni alipo mama ake ili amuulize kwa kunong'ona "mama eti uume unaitwaje kwa kizungu?" Akajibiwa kwa kunong'onezwa "penis" then dogo si akaanza kuondoka huku akinena mbele ya wageni kwa sauti kidogo "penis, penis, penis...."

Mke na Mume mabishano

Baba mmoja alimwambia mkewe mama uchumi umeyumba jifunze kupika tumfukuze housegirl, Nae akajibu na ww jifunze majambozi tumfukuze mlinzi na houseboy.

Wednesday, January 26, 2011

Swali

Mzungu mmoja alimuuliza mtanzania mmoja ''nasikia nyie watanzania mkiulizwa swali mnajibu swali, ni kweli?''

Mtanzania naenakajibu, ''aah sio kweli kabisa, nani kakuambia?''

Gesti hausi usalama

Mteja mmoja akiongea na mhudumu wa gesti.
Mteja: Jamani mbona mnaacha mlango wa chumba wazi?
Mhudumu: Hamna atakae kuibia mkuu, ila acha mwanamke watakuibia.

Mke mwema

Jamaa mmoja aliulizwa utaoa lini? Akajibu nasubiri mwanamke atakayeachika ndo nimuoe. Watu wakamshangaa na kumuuliza kwa nini unataka aliyeachika? Akajibu, mke mwema anatoka kwa Bwana!

Monday, January 24, 2011

Taxi

Mwnmke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?

Sunday, January 23, 2011

Duka la dawa

Jamaa aliendauka la madawa kisha akanunua dawa za kuondoa gesi tumboni aina ya magnesium. Alipopatiwa akaomba na maji madogo ndipo nesi akamuuliza "ya nini?".
Jamaa akajibu "si ya kumezea dawa hizi ulizonipa!!"

Kibibi

Kibibi kilikosea nyumba ya msiba kikaingia geto kwa washkaji wakakinaniliu ile mbaya, kilipotoka kikauliza arobaini lini nije tena?

Saturday, January 22, 2011

Tangazo

Kijana mmoja akitoa tangazo fulani kama ifuatavyo "Taarifa za kiinteligesia zinasema polisi itatawanya kwa mabomu mikusanyiko katika v2o vya dala2 kwa kua husababisha ghasia wakati wa kupanda daladala"

Mtoto na babu

Babu: Mjukuu wangu, kajifiche haraka haraka mwalimu wako amekuja, umeharibu hujaenda shuleni.
Mjukuu: Babu kajifiche wewe maana nimemdanganya umekufa.

Mume akipiga simu

Mwanamke mmoja alipigiwa simu na mumewe, mumewe alitumia namba ingine kabisa. Mke wake kwa vile alikuwa na mwanaume mwingine ndani wakati simu hiyo inaita akajibu ''nipigie baadae mpz huyu nguruwe bado yupo humu ndani''

Friday, January 21, 2011

Beep

Jamaa mmoja alikuwa na mrembo waki-do chumbani, kidogo yule Mrembo akapumua hewa chafu. Jamaa akauliza ''umakunya?''
Mrembo akajibu ''hapana nimekubeep utumie line nyingine maana hii unayotumia sasa betri low''

Mke Mume

Ndoa mpya: mume anavyosave namba ya simu.
Ndoa mpya atasave ''my life''
Mwaka mmoja, ''my wife''
Miaka miwili ''home''
Miaka mitano ''hitle''
miaka kumi ''wrong number''

Wednesday, January 19, 2011

Spidi ya gari

Jamaa mmoja alikuja mbio kwa gari akaja akapaki pembezoni mwa marafiki zake, aliposhuka akawa anahema kama ametoka kwenye riadha. Jamaa akamuuliza ''kulikoni unahema hivyo?''

Jamaa akajibu ''we hujaona nilivokua nakuja speed kwa gari?''

Mchumba

Mzee: Kijana umesema unampenda mwanangu sio
Kijana: Ndio mzee, ntakufa kwa ajili ytake.
Mzee: Ooh, wewe humfai nataka mtu atakaeishi kwa ajili yake.

Tuesday, January 18, 2011

Utawala wa m'ke

Siku moja huko peponi Malaika aliwambia wanaume "haya wale woote waliotawaliwa kwa namna moja ama nyingine na mwanamke wakae mastari mmoja, na wasio mstari wao"
Basi mstari wa waliotawaliwa nk nk wakawa weeengi mno, na mstari wa pili jamaa mmoja tu.

Alipoulizwa "wewe kulikoni mbona umetokea peke yako?" Akajibu.
Hata mie najishangaa ni mke wangu kaniambia nisimame upande huu.

Tuesday, January 11, 2011

Kunyonyesha

Kulikuwa na mama wawili wakinyonyesha wamekaa sehemu moja, mmoja mwembamba mwingine mnenemnene kiasi. Sasa yule mwembamba na mwanae ana chuchu si kubwa sana, yule mnene na mwanae kubwa kubwa kiasi, sasa mtoto wa mwembamba akaanza kulia "iiii iii nataka kunyonya yaleee"

Kompyuta na....

Jamaa mmoja alienda internet kuperuzi mawili matatu, Sasa jamaa mwenyewe alikuwa na viganja au mikono migumu kama mkulima wa jembe la mkono. Sasa pale alipoishika tu keyboard kuanza kutype maneno/maandishi kumpyuta ikamuambia "new hardware found"

Vibweka vya housegirl

Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?"
Ndipo hoousgirl akadakia na kusema "mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo."

Monday, January 10, 2011

Mtihani

Mwalimu mmoja akiwaambia wanafunzi wake class, ''nyie wanafunzi mmeiba mtihani?'' ndipo mwanafunzi mmoja ananyanyuka na kusema ''mwalimu, hatujaiba mtihani tumeiba majibu''

Nyumba ya wageni

Jamaa mmoja aliingia jiji la Dar sasa akawa anatafuta pa kulala ili afanye shughuli zake zilizomleta mjini. Baada ya kuzunguka zana akaamuuliza kijana mmoja ''hivi inakuwaje maana nimezunguka bila mafanikio?''
''yaani nyumba za kulala wageni zote zimejaa wenyeji kwani wamejengewa waoo?''

Sunday, January 9, 2011

Maswali haya je una majibi?

JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]
1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi?
2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking?
4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?
Kazi kwako...

Saturday, January 8, 2011

Ndoa:..

Jamaa mmoja wakati anafungishwa ndoa na padre pale pale mbele ya padre alipowaambia ''mpaka kifo kiwatenganishe'' jamaa fasta akamuuliza padre ''padre samahani je kuzimia?''

Friday, January 7, 2011

Maongezi matamu

Jamaa mmoja alipokua akiongea na mwenzake akimsimulia mwenzake jambo moto moto. Sasa akawa anamuambia kwa masham sham, jamaa aliekua akisimuliwa akawa anajibu ''aaah usinambie...''

Jamaa akawa baada ya muda amekaa kimya yaani msimuliaji, ''mbona huendelei na story?''
Mwenzake akanena ''mbona huongei tena?''
Akajibiwa ''sa si umesema nsikuambie''

Wednesday, January 5, 2011

Kichina II

Jamaa mmoja alienda kwenye kampuni ya inshuarensi akaulizwa shida yake akajibu ''nimenunua simu ya mchina nataka kukatia inshuarensi''

Kichina

Jamaa mmoja akimuambia mwenzake, ''jumatatu ya leo mbona haieleweki?'' mwenzake akamuuliza ''una maanisha nini?'' Yule alieuliza mwanzo tena akanena ''sijui ka sio j3 ya kichina mbona imeisha haraka hivi?''

Tuesday, January 4, 2011

Mwanamke

Wadada walikaa wadada wawili ma kaka mmoja.
Akapita dada mweupe wale wadada wakaseme ''yule dada mzuri'' yule kaka akasema na yeye ''mzuuri au mweupe?''

Mirathi

Mwalimu mmoja aliuliza swali moja kwenye mtihani.
''tajiri mmoja aliacha urithi wa dola milioni 10. Moja na nusu kwa mwanae wa kike, moja na nusu kwa wa kiume, moja point 6 kwa kaka, iliyobaki yote kwa mkewe. Sasa kila mtu atapata nini?''

Mwalimu aliuliza darasa. Kimya kikatawala punde mtoto mmoja akanyoosha kidole na kujibu ''watapata mwanasheria''

Sikukuu

jamaa mmoja baada ya kutinga bia zake za kutosha siku ya sikuu kuu ya xmas akaenda kituo cha polisi na kunena kama ifuatavyo, ''habari ya saa hizi (akiongea kilevi levi), vyumba vipo?''

Akiendelea kunena ''maana kila nnapopita leo pako full''

Tv

Jamaa mmoja kwa mara ya kwanza alipoiona ile tv kubwa pale karibu na moven pick hotel zamani Sheraton hotel inayoonyesha matangazo ya biashara mbali mbali akanena hivi:

''Dah! Itabidi nije baadae kuangalia hapa hapa mechi ya manchester.''