Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, March 21, 2011

Kurudi shule

Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"

Friday, March 18, 2011

Kwa Babu Loliondo

Pale Mzee Mwapasile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema watu wapange mistari miwili:
Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na Mstari wa pili watu wenye HIV/AIDS.
Watu woote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.Kuona hvo babu akasema kumbe hii dawa ya Ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa! Watu wacha wapayuke,USIIMWAAGE BABUUU

Wednesday, March 16, 2011

Kwa daktari

Kijana mmoja alienda hospitali na hivi ndivyo alivyokua akipewa majibu yake na daktari, ''pole sana ndugu yangu, vile vidoti doti vyekundu kwenye uume wako sio saratani ni rangi ya lipstick. Tunaomba samahani kwa kuikata yote''

Mmasai hosp.

Mmasai mmoja alienda hospitali kuchoa sindano, alipomaliza akamuuliza nesi asliemchoma sindano, ''we hapana ona tundu huko nyuma mpaka natoboa ingine?''

Friday, March 11, 2011

Mwanamke wa Tz

Mwanamke mmoja wa kibongo alikua baa na wanaume wawili New York, mwanaume wa kwanza akaagiza kwa muhudumu "Johnny Walker single" wa pili akaagiza "Jack Daniels single" ilipofika zamu ya mwanamke kwa kujiamini nae akasema "Asha Selemani Married"

Thursday, March 10, 2011

Kuhesabu

Hasani: Jaki amefukuzwa shuleni kwa udanganyifu
Joni: Kwanini?
Hasani: Alikamatwa akijihesabu mbavu kwenye mtihani wa baolojia.

Saturday, March 5, 2011

Harusini

Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoja wa wahudumu na kumuambia "samahani mna zile pamba stick za masikioni? Sikio linaniwasha sana"

Heshima

Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!

Friday, March 4, 2011

Shanga

Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda gest, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!

Wednesday, March 2, 2011

Nyoka tumboni

Mtoto mdogo alianza kumsimlia mama yake story,' Mama nilipokuwa tumboni kuna nyoka alikuwa anaingia akawa ananitisha ananitisha halaf ananitemea mate,halaf anakuwa mpole anatoka"