Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Monday, March 21, 2011
Kurudi shule
Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"
Friday, March 18, 2011
Kwa Babu Loliondo
Pale Mzee Mwapasile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema watu wapange mistari miwili:
Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na Mstari wa pili watu wenye HIV/AIDS.
Watu woote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.Kuona hvo babu akasema kumbe hii dawa ya Ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa! Watu wacha wapayuke,USIIMWAAGE BABUUU
Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na Mstari wa pili watu wenye HIV/AIDS.
Watu woote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.Kuona hvo babu akasema kumbe hii dawa ya Ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa! Watu wacha wapayuke,USIIMWAAGE BABUUU
Wednesday, March 16, 2011
Kwa daktari
Kijana mmoja alienda hospitali na hivi ndivyo alivyokua akipewa majibu yake na daktari, ''pole sana ndugu yangu, vile vidoti doti vyekundu kwenye uume wako sio saratani ni rangi ya lipstick. Tunaomba samahani kwa kuikata yote''
Mmasai hosp.
Mmasai mmoja alienda hospitali kuchoa sindano, alipomaliza akamuuliza nesi asliemchoma sindano, ''we hapana ona tundu huko nyuma mpaka natoboa ingine?''
Friday, March 11, 2011
Mwanamke wa Tz
Mwanamke mmoja wa kibongo alikua baa na wanaume wawili New York, mwanaume wa kwanza akaagiza kwa muhudumu "Johnny Walker single" wa pili akaagiza "Jack Daniels single" ilipofika zamu ya mwanamke kwa kujiamini nae akasema "Asha Selemani Married"
Thursday, March 10, 2011
Kuhesabu
Hasani: Jaki amefukuzwa shuleni kwa udanganyifu
Joni: Kwanini?
Hasani: Alikamatwa akijihesabu mbavu kwenye mtihani wa baolojia.
Joni: Kwanini?
Hasani: Alikamatwa akijihesabu mbavu kwenye mtihani wa baolojia.
Saturday, March 5, 2011
Harusini
Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoja wa wahudumu na kumuambia "samahani mna zile pamba stick za masikioni? Sikio linaniwasha sana"
Heshima
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!
Friday, March 4, 2011
Shanga
Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda gest, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!
Wednesday, March 2, 2011
Nyoka tumboni
Mtoto mdogo alianza kumsimlia mama yake story,' Mama nilipokuwa tumboni kuna nyoka alikuwa anaingia akawa ananitisha ananitisha halaf ananitemea mate,halaf anakuwa mpole anatoka"
Sunday, February 27, 2011
Singa Singa
Singa singa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti
Mkewe akamuliza una nini leo?
Akajibu natafuta ringtone ya matako yangu!!!
Mkewe akamuliza una nini leo?
Akajibu natafuta ringtone ya matako yangu!!!
Saturday, February 26, 2011
Shule ya msingi
Mtoto: baba kwanini we na mama mliacha shule ya msingi? Baba: kwan vp mwanangu?
mtoto: jana ucku nilikusikia ukimwambia mama tumalizie la saba.
mtoto: jana ucku nilikusikia ukimwambia mama tumalizie la saba.
Thursday, February 24, 2011
Bangi
Jamaa mmoja aliita polisi nyumbani kwake walipofika akaulizwa "enhe kuna shida gani?" akajibu "nimeibiwa bangi nimewaita mnisaidie kutafuta mwizi wangu"
Wednesday, February 23, 2011
Mtoto kuibiwa baiskeli
Mtoto aliibiwa baiskeli yake akenda kushtaki police akaulizwa unamshutumu nani?alie kuibia baiskeli yako akasema namshutumu baba na mama nimewasikia usiku wakisema ikisimama panda.
Kimombo na sms
Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"
Panya mkali.......
Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao,
Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa
Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu
Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"
Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa
Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu
Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"
Tuesday, February 22, 2011
Piga picha na simu
Jamaa mmoja alishika simu ya mwenzake akawa anajipiga piga picha mara hivi mara vile. Mwenye simu akageuka na kumuambia "oya vipi? Unamaliza mkanda (film)?"
Monday, February 21, 2011
Sokwe USA
Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya yule sokwe kujifanya yeye ndo sokwe.
Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele.
Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza
"ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"
Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele.
Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza
"ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"
Kuiba bank
Wezi waliingia bank kuiba walipofungua safe wakaona kitu kama mtindi kutesti yes ni kama mtindi. Wakajaribu safe kama 3 ivo ivo. Mmoja akatumwa aangalie nje jina la benk. Akarudi na kujibu ni benk ndio. Wakamuuliza which bank exactly? Akajibu 'The Sperm Bank of Dar"
mayai ya kuku
Jamaa mmoja alienda kununua mayai, alipofika kwa muuza mayai akamsalimia vizuri kisha akamuuliza "samahani nimekuja kununua mimba za kuku zipo?"
Sunday, February 20, 2011
Maji ya kiroba
I remember by then chuo maji ya viroba tunayakamulia kwenye chupa ya k'njaro. Sasa kitendo cha kukamulia tukikiita 'ku-download'
Friday, February 18, 2011
Treni shuleni
Mtoto wa tajiri wa kiarabu alipelekwa kusoma Germany: siku chache akampigia dad ake simu "dad wanafunzi na walimu wananishangaa naendesha Mercedes 2011, wkt wao wanakuja na treni chuo" baba akajibu "pole son, basi ntakununulia treni yako na wewe"
Rubani
Rubani wa KLM alipofika dar juzi akamuuliza msaidizi. Hii rada ni ya kichina? Inasema tuko dar lakini naona kama tuko Afghanistani!
Wednesday, February 16, 2011
Short na Long Call
Kama haja ndogo ni
''short call''
Haja kubwa ni
"long call"
Basi kujamba iitwe
"missed call"
''short call''
Haja kubwa ni
"long call"
Basi kujamba iitwe
"missed call"
Monday, February 14, 2011
Gereji
Jamaa mmoja alipeleka gari yake gereji, ilikuwa inatoa kelele fulani wakati ikitembea! Baada ya masaa kadhaa aliporudi kwa fundi wake kuangalia maendeleo fundi akamjibu hivi "zile kelele hutozisikia tena nimejitahidi ku-tune sauti ya redio juu na kung'oa cha kuongezea sauti"
Alfajiri
Jamaa alikurupuka asubuhi mbio mbio mpaka nje ya nyumba yake, akamkuta jogoo (kuku) na kuku wengine. Akmdaka yule jogoo na kumkwida akimuambia "pumbavu kabisa umepitiliza kwa nini hujawika uniamshe?"
Uokoaji majini
Jamaa mmoja alikua alipatwa na dhoruba kwenye mtumbwi, ukaja mtumbwi mwingine kuwaokoa basi jamaa akazamia na alipoibuka akaibuka na begi la ngua na kumuambia aliekuja na mtubwi mingine "enhe nipokee begi hili nimfuate mke wangu sasa"
Nani kapiga?
Baba mmoja aliporudi nyumbani akamkuta mwanae anapandika vi-note kwenye computer ya baba yake vimeandikwa kama ifuatavyo: Ulipoondoka James alipiga simu ya mama, Julius nae alipiga simu ya mama, Davis nae alipiga simu ya mama.
Subscribe to:
Posts (Atom)