Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.
Tuesday, August 31, 2010
Dish|Kutu
›
Jamaa mmoja alinunua dish la tv. Baada ya kulitumia kwa muda mrefu likawa limetengeneza kutu karibu loote. Siku moja akalipaka rangi iliuiep...
Monday, August 30, 2010
Naumwa
›
Marafiki wawili walikaa sehemu wakiongea. Mmoja akamuambia mwenzake, "naumwa leo kichwa." Mwenzake akamjibu, "we unaumwa? Nen...
Mchaga.
›
Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali, hapa upo hospitali. ...
Sunday, August 29, 2010
Maneno mengi
›
Wakati jamaa mmoja anakula akawa anamsimulia mwenzake, "nimekutana na huyu mmoja asubuhi hii, mara moja alianza nitukana na kunitishia ...
Afande
›
Afande: Pw Conso yuko wapi? Kuruta: Kaenda Air-port afande. Afande: Pumbafu si ni nimerituma uwanja wa ndege Air-port rimeenda kufanya nini,...
Vifaranga
›
Jamaa mmoja alienda kudai vifaranga kwa jirani, kisa jogoo wake ndio baba wa vifaranga.
Kidole gumba
›
Jamaa kidole gumba kilikua kinamsumbua, akaenda kwa dokta. Alipofika nesi akamuambia avue nguo kisha aingie chumba cha kusubiria kumuona dak...
Tongoza
›
Mwanaume mmoja akimtongoza Mwanamke. Mwanaume: Nipo tayari ku-share kila kitu nawe... Mwanamke: Tuanze na bank akaunti yako.
Saturday, August 28, 2010
Kijiti
›
Kwenye sherehe moja ya kuwapongeza maharusi, bwana harusi alitangaza kumkabidhi kijiti rafiki yake mmoja nae aoe siku za usoni. Jamaa mmoja ...
Talaka
›
Mke na mume walienda mahakamani kuomba sheria iwasaidie watengane, jaji akawauliza "sasa mtagawanaje? Mna watoto watatu" Mume mtu ...
Polisi
›
Polisi mkuu: Umefanikiwa mkamata mtuhumiwa? Polisi mdogo: Hapana, ila ameniachia alama za kumtafuta... Polisi mkuu: Nini? Polisi mdogo: Alam...
Meli kuzama
›
Meli moja ilikuwa inazama, watu wakaanza kupiga kelele "meli inazama... meli inazama..." Jamaa mmoja akasema "kwani ni umbali...
ATM|Password
›
Dada mmoja wakati anatoa hela kwenye ATM, wa nyuma yake akasema "hahaha nimeiona password yako ina nne-nne. Jamaa akajibu "haha um...
Bia ya mwisho
›
Mume: Tufanye tuondoke. Mke: Mume wangu niongezee bia moja ya mwisho. Mume: Hapana utakojoa kitandani usiku.
Dokta | Mifugo
›
Jamaa mmoja alimpeleka ndama wa ng'ombe wake kwa dokta. Dokta akamuuliza ana shida gani? Akajibu "mekuja umpime ndama wangu DNA nij...
Lini besdei
›
"Mama... Mama... Kwani birthday yangu mbona haifiki tu?" Mama: Kwani unaijua tarehe? Mtoto: Ndio si tarehe 32 Mei?
Mwanamziki kwenye TV
›
Jamaa mmoja alimuona mwanamziki kwenye tv moja akiimba. Baada ya masaa kadhaa akatoka na rafiki yake wakaenda kumtembelea mtu. Walipofika kw...
Besdei
›
Mke siku moja akimuambia mumewe kwenye simu, "mume wangu usije sema sijakukumbusha, kesho ni birthday yangu." Mume akamjibu, ...
Mimba
›
Siku moja mama mmoja akimuasa mwanae wa kike pekee na dunia ya leo. "mwanangu Jesca, usiongee na mwanaume utapata mimba na mengineyo ka...
Viagra
›
Siku moja mzee mmoja alimpigia simu daktari wake, mambo yakawa hivi... "dokta... dokta... Mke wangu kameza viagra zangu nifanyeje?...
Tanzanite
›
Marafiki wawili wakiongea. J: Hatujaonana siku nyingi sana. H: Kweli kabisa, unashughulika wapi siku hizi? J: Nipo na mradi wa Tanzanite. We...
English only
›
Shule moja ya dotcom mwanafunzi mmoja alikuwa amejiegesha kitandani na mwenzake, sasa huyo mwenzake anaitwa Kassim akawa anauvutia kwake mto...
Sinema
›
Mzee mmoja aliulizwa, "mzee ni sinema gani unaipenda sana?" Mzee akakaa kimya sekunde kadhaa huku akivuta kumbukumbu kisha akajibu...
Namba ya simu
›
Juma: Jamaa amekupa namba? Ali: Ndio na nsham-beep. Juma: Hebu ni hiyo namba. Baada ya kupewa akanena. Juma: Wee! Ume-beep landline?
Dawa
›
House girl mmoja aliulizwa "umempa dawa mtoto?" Akajibu "amekataa kumeza, nimemsaidia kuzimeza mimi ili zisipotee bure"
Friday, August 27, 2010
Mkia
›
Mdada mmoja alienda kwa daktari wa wanyama, safari hii alienda na mbwa wake akamuambia dokta "dokta naomba umkate mkia mbwa wangu"...
Dawa ya...
›
Jamaa mmoja mweupe wa ngozi alienda kwa dokta. Akamuambia dokta "dokta nna kiji-alama kekundu kwenye ngozi, sivi ni nini? Dokta akampa ...
Hela
›
Babu alimuona mjukuu wake akifungua mlango bila kuugusa. Babu akampa elfu kumi, mtoto akajibu "hapana babu, kaa nayo tu nimedanganya ni...
Ndevu
›
Mtoto akimuambia Baba yake "baba... Yule mkata majani wetu ana ndevu kama zako?" Baba: Ndevu? Mtoto: Ndio ndevu kwa chini ya kitov...
Thursday, August 26, 2010
Wamama watatu
›
1: Jana si nlifungua pochi ya mwanangu, nkakuta bangi. Nlikua sijui kama anavuta. 2: Hiyo mbona afadhali mi nlikuta Kitambulisho feki, sikuw...
‹
›
Home
View web version