chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Monday, March 14, 2016

Ndoa knisani

›
Wakati dnoa inafungwa kanisani, mchungaji akauliza "kwa yeyote mwenye pingamizi na aje mbele..." Ghafla kibabu kikasimama na kwend...

Mlevi kaibiwa...

›
Mlevi mmoja alipoingia kwenye gari yake ikabidi apige simu kama ifuatavyo; Mlevi: Haloo, nimeibiwa usukani, dashboard, gia pia, na pedo za b...
Wednesday, March 2, 2016

Picha ya mapacha

›
Mama mmoja alizaa mapacha, ugumu wa maisha watoto wake mmoja akaikabidhi familia moja wakamuita Kijo na mwingine familia ingine wakamuita Tu...

Walevi wawili

›
Walevi wawili walikua wanabishana: Mlevi 1: We umelewa, nakuambia ule ni mwezii unabisha. Mlevi 2: Sio mwezi bwana, si nyota kabisa zile we ...

›
Dada mmoja alipotumiwa vocha na mpenzi wake, wakati anamshukuru maneno yalikua kama ifuatavyo: "Baby jamani asante, ila juanitumia ya k...

Sahau matatizo

›
Jamaa mmoja alimuomba ushauri mwenzake juu ya matatizo yakiyomsonga, akamjibu kama ifuatavyo. "Namna rahisi ya kusahau matatizo yako (j...

Machizi wawili safarini

›
Kulikua na chizi watatu walipanda treni kuelekea Mbeya, maongezi yao kama ifuatavyo: chizi wa kwanza: Unaona vile miti inavyokimbia? Chizi w...

Mtoto kaunguza picha

›
Mtoto mmoja alikua kwenye daladala na mama ake. Maongezi ya mtoto yakawa hivi kwa sauti ya kusikika kwenye daladala nzima, "kwani mama ...
Sunday, January 4, 2015

›
Mama akimuambia mwanae jambo, "Steve tafadhali kuwa makini na hiyo nyundo, utajiponda vidole." Steve nae akajibu, "Usijali ma...

›
Baba: Juma umeliona gazeti langu? Juma: Ndio, mama kalivurugavuruga na kulitupa. Baba: Agghh! Nilikua nataka yaliyomo kabla hajalitupa. Juma...

›
Baba: Mwanangu, nina habari nzuri. Umepata mdogo wako wa kike sasa. Mtoto: Oh! Kweli baba? Mama ana hizi taharifa?

›
Sauti toka kwenye simu: Halo, mama ako yupo nyumbani? Msichana kakajibu: Ndio yupo Sauti kwenye simu: Unaweza kumuita aje niongee nae tafadh...
Wednesday, July 10, 2013

Swali kwa wanafunzi

›
Mwalimu akiwa darasani akauliza swali: Haya naomba mniambie, utamuitaje mtu ambae anaongea na mtu au watu wakati huo huo wanaomsikiliza hawa...

Ma-lavi-davi

›
Msichana: Nakupenda sana na nitakufa kwa ajili yako. Mvulana akajibu: Lini haswa utakufa sasa?
1 comment:

Jibu la mpenzi

›
Mvulana na msichana wapenzi wakiwa matembezini Mvulana: Naweza kukushika mkono wako? Msichana: Hapana usijali, sio mzito.

Mhudumu na mteja

›
Mhudumu: Nikuletee black coffee? Mteje: Kwani mna coffee ya rangi gani ingine?

Swali kwa chekechea

›
Mwalimu aliuliza swali kwa wanafunzi wa chekechea kama ifuatavyo: Mwalimu: Haya mninjibu swali hili, kati ya Jua na Mwezi kipi muhimu? Mtoto...
Thursday, November 8, 2012

Mgeni huyu...

›
Wageni wengine noma...........!!!!!!!! MWENYEJI: "Utakunywa soda au chai?" MGENI: "Ntakunywa soda wakati nasubri chai ichem...
Tuesday, October 9, 2012

Kambi ya jeshi

›
Jamaa alikatiza kambi ya jeshi. Akapewa adhabu ya kubeba tofali 1,000. Alipofikisha 900 akakumbuka mkuu wa kambi kasima nae, akaenda msemea ...

Taxi na ofa

›
Jamaa kwenye taxi alimuona mke wake anaingia hotel na njemba akamuambia taxi driver "unataka tengeneza laki 2 sasa ivi?" Akajibu ...
Monday, October 8, 2012

Dokta na mgonjwa wake

›
Daktari mmoja alienda wodini akamkuta mgonjwa wake amelala usingizi maongezi yakawa hivi baada ya kumuamsha "nimekuja kukuletea dawa ya...
Friday, September 21, 2012

Mjamaika na ndoa mpya

›
Mjamaika (Rasta) mmoja alikua anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mkewe. Ghafla akasema kwa sauti kubwa na kutoka mbio chumbani alipokuwa...

Dunia kwishneii

›
Kaka wakati anafanya mapenzi na dada ake waliponogewa dada akasema "Mhh Unan... vizuri kuliko baba" Kaka nae akanena "Hata ma...

Vibweka vya mapacha

›
Mapacha wawili walipenda kula kuku na chips siku moja katika maongezi yao pacha wa kike akamuambia wa kiume "Kuku wameniambukiza manyoy...

Kaaazii ipo...

›
Njemba baada ya kuchoka fanya kazi zake nyumbani akazima taa akalala. Punde akaona mtu kasimama pembeni akauliza "we ni nani chumbani k...
Thursday, September 20, 2012

Nani wa kuja kati ya...

›
Nani mshamba kati ya hawa hapa? 1. Aleenda shop kuulizia bluetooth. 2. Aliekula hotelini akaosha vyombo. 3. Alienunua Ice Cream akaipasha mo...
Tuesday, September 18, 2012

Faini ya mwizi

›
Mume kamfumania jamaa fulani akifanya mapenzi na mke wake, akamtoza faini ya 500/= Yule jamaa akatoa fastafasta noti ya 1000/= Mume akasema,...

Hasira mmbadala

›
Mke alimwuliza mmewe "ambona mume wngu nikikuudhi huwa hukasiriki?" Mumewe akajibu "huwa ukiniudhi nachukua mswaki wako na k...

Nani zaidi?

›
Jamaa: I love you sweet. Msichana: I love you too...ila tupendane tu,mambo ya ngono sitaki namtunzia mume atakaenioa. Jamaa: Hilo si tatizo,...
Wednesday, September 12, 2012

Kichaa jalalani

›
Kichaa mmoja alikutwa jalalani. Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe? Akajibu wale wako boding mimi nipo day
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.