Jamaa walikua na mgonjwa wao aliekuwa amelazwa na hali mbaya! Wakaamua kumuita mchungaji aje kumuombea!
Yule mgonjwa akaomba peni na karatasi kwa vitendo, akaandika kitu akampa mchungaji. Mchungaji akakichukua na kukiweka mfukoni.
Alipokufa mgonjwa, baada ya kuzika akakumbuka ana kile kikaratasi, akakitoa na kukisoma mbele ya watu wasikie marehemu alichoandika kama ifuatavyo ''mchungaji umekanyaga paipu yangu ninayovutia oxygen''
Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Sunday, November 7, 2010
Mjane
Mjane mmoja tajiri alibandika tangazo limeandikwa hivi ''nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo:
1. Asinipige
2. Asinikimbie
3. Awe mzima kitandani
Baada ya kupata maombi mengi siku moja akagongewa na mwanaume hana mikono wala mguu. Akamuuliza ''enhe sasa wewe ndio....''
Mwanaume akajibu, ''si unaona sina mikono so siwezi kukupiga, sina miguu siwezi kimbia''
Mjane: Na je kitandani je?
Mwanaume: We unadhani kengele nimegongaje?

Friday, November 5, 2010
Kipimo
Jamaa mmoja mlevi alienda kuomba kazi kiwanda cha wine wakam-test kwa kumpa mvinyi (wine)aonje na kufafanua ni kinywaji gani nk nk
Akapewa wine ya kwanza akaionja na kujibu, ''hii ina miaka 10, kilevi......'' nk nk
Akapewa ya pili pia akapatia vyema kabisa.
Wakaona kweli anafaa wakamuekea mkojo kwenye glass, yule jamaa alipoonja akajibu ''mkojo wa mtu mwenya miaka 21, na mjamzito wa miezi mitatu, na kama hamnipia kazi ntawatajia na baba wa huyo mtoto.''

Wednesday, November 3, 2010
Hotelini
Mr. na Mrs. Walienda hotel moja kusherekea miaka yao 50 ya ndoa. Punde kidogo wakarudi reception na mume akaanza kubwata ''hatukitaki kile chumba, hakina kiti, meza, dirisha wala choo''
Mzee wa watu akazidi bwatuka ''yaani mmetuona sie ndio wakuja sio, niitie meneja wenu haiwezekani kabisa.....''
Mhudumu akawa anajaribu kumkatisha mpaka akafanikiwa ''Mzee... Mzee... Mzee hile ni lift sio chumba mlichopewa''

Kununiana mke na mume
Mke na mume wakiwa safarini kwenye gari yao, takribani tangu waanze safari hamna alieongea neno na mwenzie. Baada ya muda mbele wakamuona nguruwe, mume akauliza ''huyo ni ndugu yenu upande gani?''
Mke nae bila hiyana akajibu, ''ndio ndugu yetu upande wa wakwe zangu.''
Mke nae bila hiyana akajibu, ''ndio ndugu yetu upande wa wakwe zangu.''
Neno mbadala
Mwanaume mmoja shule yake iliishia darasa la saba alienda kwa daktari na maongezi yao yakawa hivi:
M'ume: Dokta, mke wangu ni mvivu sana, nimekuja unisaidie.
Dokta: Enhe nikusaidiaje?
M'ume: Nataka unipe neno la kidaktari la kumaanisha kuwa yeye ni mvivu mnoo. Maana nkimuambia kavukavu atanijeruhi leo.

Utani huu
Mfanyakazi mmoja akiongea mbele ya wenzake chuo fulani, ''aisee mmemuona Mkuu wetu mpya alivyo na sura mbaya kama anang'oa jino?''
Mwanamke mmoja pale pembeni akadakia, ''unajua mimi ni nani?''
Mfanyakazi akajibu, ''hapana, we ni nani?''
mwanamke akajibu, ''mimi ni mke wa huyo unaemzungumzia''
Mfanyakazi: Ooh, na mimi unanifahamu ni nani?
Mwanamke akajibu: Hapana.
Mfanyakazi akanena, ''Ooh vizuri kumbe kibarua changu kipo salama.''

Monday, November 1, 2010
Kelele kwa mtoto
Mama mmoja mjamzito alipokuwa akiongea na kucheka kwa sauti na shoga yake ghafla mwanae mmoja wa miaka mitano akaja na kumuambia, ''mama usipige kelele utamwamsha mtoto tumboni.''
Kahawa
Dokta nna tatizo, kila nkinywa kahawa baada ya muda nasikia kama maumivu hivi kwenye koo.
Dokta baada ya kumfanyia X-ray nakadhalika akamuambia ''siku ingine kabla hujanywa chai hakikisha umetoa kijiko cha sukari kwenye kikombe kwanza.''
Dokta baada ya kumfanyia X-ray nakadhalika akamuambia ''siku ingine kabla hujanywa chai hakikisha umetoa kijiko cha sukari kwenye kikombe kwanza.''
Jicho
Marafiki wawili wakiongea, mmoja akimuambia mwenzake jambo linalomsumbua!
Rashid: Ebwana mi jicho langu lanisumbua.
Ima: Linafanyaje kwani?
Rashid: Linakua kama lina kidoti hivi kwa mbele nakiona ona.
Ima: Umemuona Daktari?
Rashid: Hapana nakiona kidoti tu nlichokuambia.
Rashid: Ebwana mi jicho langu lanisumbua.
Ima: Linafanyaje kwani?
Rashid: Linakua kama lina kidoti hivi kwa mbele nakiona ona.
Ima: Umemuona Daktari?
Rashid: Hapana nakiona kidoti tu nlichokuambia.
Sunday, October 31, 2010
Kung'oa jino
Dokta wa meno: Nimeliona jino linalokusumbua.
Mgonjwa: Utanichaji shilingi ngapi?
Dokta: Elfu 20 tu.
Mgonjwa: Khaa yaani kwa dakika chache tu hela yote hiyo?
Dokta: Usijali, basi ntakung'oa taratiiibu mpaka mwenyewe utafurahi:
Mgonjwa: Utanichaji shilingi ngapi?
Dokta: Elfu 20 tu.
Mgonjwa: Khaa yaani kwa dakika chache tu hela yote hiyo?
Dokta: Usijali, basi ntakung'oa taratiiibu mpaka mwenyewe utafurahi:
Friday, October 29, 2010
Pichu Nyeupe
Vijana wawili wakati wakiwa kwenye maongezi yao binafsi:
Daudi: naona umetoka kuoga bado kunukia sasa!
Frank: Anha kawaida yangu si unajua tena.
Daudi: Na kweli, naona umeamua kutinga chupi nyeupe kabisa.
Frank: Hehehe ukiona hivyo leo nna ki-date na mtoto mzuuri.
Dauidi: Hee! kumbe.

Thursday, October 28, 2010
Elfu tano
Mtoto: Mama naomba shilingi elfu tano.
Mama: Hapana sina mwanangu leo.
Mtoto: Basi sikuambii baba alichomuambia dada (housegirl).
Mama akatoa hela na kumpa elfu tano.
Mama: Enhe! Alimuambia nini?
Mtoto: Alimuambia asisahau kumfulia sox zake kesho.

Kuzaliwa
Mtoto: Mama kwani mimi nimezaliwaje?
Mama: Ooh, mwanangu wewe uliletwa na malaika.
Mtoto: Na je wewe na baba?
Mama: Pia sie hivyo hivyo.
Mtoto: Na Babu na bibi je?
Mama: Pia na wao.
Mtoto: Ah! Hii ripoti ntashindwa iandika maana katika familia yetu vizazi vitatu vyoote hamna kilichozaliwa.

Baloon
Mzee mmoja alipanda baloon (puto kuubwa la kuelea hewani), baada ya kuwa hewani kwa dakika kadhaa akawa hajui yupo wapi.
Akalishusha kidogo toka hewani, kicha akamuuliza kijana mmoja ''samahani eti hapa nipo wapi?''
Kijana akajibu ''ooh! Upo kwenye baloon, mita chache toka kwenye ardhi!''
Akalishusha kidogo toka hewani, kicha akamuuliza kijana mmoja ''samahani eti hapa nipo wapi?''
Kijana akajibu ''ooh! Upo kwenye baloon, mita chache toka kwenye ardhi!''
Wednesday, October 27, 2010
Jambazi
Jambazi mmoja mkuu akiwauliza wenzake "nani yupo tayari kuvuna pesa?"
Wale majambazi wadogo wakajibu "sisii"
Akawauliza tena, "Je mpo tayari kwa kazi hiyo?"
Wakajibu "ndio"
Akawauliza tena "mpo tayari kufa?"
Wakajibu "ndiooo"
Mmoja wa wale wadogo akauliza "samahani uliza swali la mwisho tena?"

Pesa bank
Mmasai mmoja alienda bank kuweka hela, alipofika baada ya kuweka akasema "siweki tena pesa yangu bank" Jamaa mmoja akamuuliza "kwa nini?." Mmasai akajibu "metoka weka pesa bank mtu mwingine kazichukua, eti wanasema pesa yangu imebaki kwa karatasi."
Tuesday, October 26, 2010
Andunje
Kulikua na vijana wawili wafupi mno (emolo/andunje). Wakapata warembo kila mmoja wapo.
Wakaenda guest house.
Ilipofika asubuhi wakawa wanaulizana:
Andunje wa kwanza: Vipi mwenzangu jana ilikuwaje?
Andunje wa pili: Ilikuwa aibu sikuweza mfikia vizuri, enhe na wewe ilikuwaje?
Andunje wa kwanza: Bora wewe mie hata kitandani nlishindwa panda.

Idiot
Kwenye darasa moja la shule moja ya kizungu:
Mwalimu: Any one who is idiot asimame.
Darasa loote likakaa kimya.
Mwanafunzi mmoja akaanyoosha mkona.
Mwalimu: Enhe! Tell me what is it.
Mwanafunzi: Nashangaa wewe ndio uliesimama peke yako.
Mwalimu: Any one who is idiot asimame.
Darasa loote likakaa kimya.
Mwanafunzi mmoja akaanyoosha mkona.
Mwalimu: Enhe! Tell me what is it.
Mwanafunzi: Nashangaa wewe ndio uliesimama peke yako.
Monday, October 25, 2010
Kiwembe
''Dokta mwanangu amemeza kiwembe naomba msaada wako'' Baba akiongea kwenye simu.
Dokta ''okey nakuja, umechukua hatua gani mpaka sasa?''
Baba, ''nimeamua kunyoa kwa kutumia mashine ya umeme badala yake''
Dokta ''okey nakuja, umechukua hatua gani mpaka sasa?''
Baba, ''nimeamua kunyoa kwa kutumia mashine ya umeme badala yake''
Chupi mpya
Demu: honey ninunulie chupi mpya. Unajua wanaume wenzio wananishangaa chupi zangu za kizamani!
Saturday, October 23, 2010
Kuokota
Jamaa wawili wakisimuliana jambo:
Kijana wa kwanza: Jana nlikua natembea njiani nkaokota wallet ila bahati mbaya ndani ilikuwa empty!
Kijana wa pili: Mimi pia jana hiyo hiyo nliokota sidiria ya mwanamke ila bahati mbaya ilikuwa empty pia ndani.

Mtoto kuua inzi
Mtoto: Mama, leo nimeua inzi watatu madume na wawili majike.
Mama: Enhe!? We umewajuaje?
Mtoto: Kwa sababu inzi watatu walikua kwenye chupa ya bia, na wawili walikuwa kwenye kioo cha dressng table.
Mama: Enhe!? We umewajuaje?
Mtoto: Kwa sababu inzi watatu walikua kwenye chupa ya bia, na wawili walikuwa kwenye kioo cha dressng table.
Kipofu
Kipofu mmoja alikuwa ameshika gazeti amelifunua, jamaa mmoja akamfuata na kumuuliza ''kaka wewe si kipofu unawezaje kusoma gazeti?''
Kipofu nae akamjibu ''hapana sisomi gazeti naangalia picha tu''
Kipofu nae akamjibu ''hapana sisomi gazeti naangalia picha tu''
Vichaa
Vichaa walipelekwa kwenye bwawa la kuogelea lisilo na maji wakaambiwa waingie waogelee! Woote wakaingia isipokuwa wawili, wakaulizwa mbona nyie hamuingii kuogelea?
Wa kwanza akajibu ''ntaingiaje wakati hamjanipa chupi ya kuogelea.''
Wa pili akajibu ''mimi mpaka mkinipa boya la kuelea ndo ntaingia.''
Wa kwanza akajibu ''ntaingiaje wakati hamjanipa chupi ya kuogelea.''
Wa pili akajibu ''mimi mpaka mkinipa boya la kuelea ndo ntaingia.''
Friday, October 22, 2010
Chakula
Jamaa alipakua chakula, wakati anaenda kula mwenzake akamuuliza ''mbona humsubiri mwenzako?'' (kisa amepakua kingi)
Tuesday, October 19, 2010
Somo la Historia
Mwalimu mmoja wakati anafundisha somo la historia darasani akatamka ''natamani ningekuwa nimeishi miaka 1000 iliyopita''
Mwalimu akamuuliza, ''kwa nini?''
Mwanafunzi akajibu ''nisingekua nalisoma hili somo sasa?''
Mwalimu akamuuliza, ''kwa nini?''
Mwanafunzi akajibu ''nisingekua nalisoma hili somo sasa?''
Jeneza
Siku moja tajiri mmoja alikufa na kutengenezewa jeneza la ukweli (thamani sana). Alipozikwa tu usiku wake kibaka akajitosa kufukua na kutoka nalo na kumzika bila jeneza.
Nje kwenye geti akakutana na askari waliokua doria.
Askari: Wewe unafanya nini huku? Unazika watu usiku? Na hilo Jeneza umelibeba kwa nini?
Kibaka: Nimewaambia ndugu zangu nataka kuzikwa Ilala wao wamenizika Kinondoni, nimeamua kwenda mwenyewe kutoka.
Polisi walilala mbele (walikimbia wote).

Monday, October 18, 2010
Ndege imeelemewa!
Ndege moja angani ilielemewa, wakapunguza mizigo kwa kuitupa bado haikusaidia. Ikabidi wapunguze abiria, rubani akasema ''tutaita ALPHABETICALLY''
All Africans... Watu kimya!
All blacks... Watu kiimya!
All Caribean... Watu kimya!
Mtoto akamuuliza baba yake ''baba kwani sisi sio waafrica?'' Baba akajibu, ''shhh kuanzia sasa sisi ni Zanzibarians''
All Africans... Watu kimya!
All blacks... Watu kiimya!
All Caribean... Watu kimya!
Mtoto akamuuliza baba yake ''baba kwani sisi sio waafrica?'' Baba akajibu, ''shhh kuanzia sasa sisi ni Zanzibarians''
Sunday, October 17, 2010
Sigara
Kijana mmoja alienda duka moja na kuuliza:
Kijana: Samahani unauza sigara moja moja?
Muuzaji: Hapana ni kwa pakti tu.
Jamaa akaondoka, kesho yake na kesho kutwa akaja tena. Siku ya mbele yake akaamua kujiandaa!
Alipofika muuzaji akamjibu:
Kijana: Samahani unauza sigara moja moja?
Muuzaji: Ndio.
Kijana: Shilingi ngapi?
Akatajiwa na jamaa akafungua pakti moja na kumuuliza.
Muuzaji: Unataka ngapi?
Kijana: Nataka 20.
(pakti moja inabeba sigara 20)

Subscribe to:
Posts (Atom)