Tuesday, September 21, 2010

Vichaa ndegeni.

Ndege moja ilibeba vichaa, sasa walikuwa na kelele. Baada ya muda kidogo msimamizi wao akatokea kwa rubani na kumuuliza mmoja.
Msimamizi/mwangalizi: Wewe! Wenzako wakwapi?
Kichaa akajibu, wanakelele sana wapo hapo nje nimewatoa kidogo.

1 comment:

  1. subiri nitakutumia kali kali za kucheka hadi uvimbiwe.

    ReplyDelete