Sunday, July 24, 2011

Nilikutana na watoto wawili wamebeba kisu na chumvi nikawauliza kulikoni? Wakanijibu "pale mbele kuna mti wa muembe, tukikosa kuna mwingine kwa mbele yake"

No comments:

Post a Comment