Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.
Friday, July 22, 2011
Ratiba ya umeme
Jamaa mmoja anaefanya kazi shirika la umeme alimuuliza jirani yake "kwani wewe huna ratiba ya umeme mpaka ulalamike kukatwa katwa?"
Jirani nae akajibu, "ratiba yenyewe imetolewa copy, halafu kumbe si ya mtaa wetu ntajuaje sasa?"
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment