Ivi unafaham... Mkristu kavamia futari vuuuupu. Baada ya kula Sheikh akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa kataka kuingia mitini ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa:Ya Tawfiq. Watu:Amin.
Jamaa:Ya Habib.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Shabiby.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Abood.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Hood.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Scandnavia.
Watu:kimya!
Jamaa:Ya Ngorika.
Watu:Mhhhhhhh!
Jamaa:Ya Dar Express!
Watu:Aaaaa, chezea sisi kamata tia bakora mwanaharamu huyu!
No comments:
Post a Comment