chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Saturday, July 31, 2010

Alarm

›
Kuna jamaa mmoja alipoisikia alarm ya gari fulani inapiga kelele, akawa anatembea huku akipepesha mikono yake juu kama kwaya masta anapoongo...

Vizee

›
Kulikuwa na vibibi viwili vizee wakiongea, mmoja akamuambia mwenzake "siku hizi nnasahau sana, jana nilisimama kwenye ngazi nikawa siku...
Friday, July 30, 2010

Besdei

›
Vizee viwili mke na mume siku moja wakati wapo mezani, mke akamuambia muwewe. ''tutoe nguo zote tule chakula bila kubanwa banwa. Wak...
Thursday, July 29, 2010

Siku ya harusi

›
Mwanaume mmoja alikuwa na ugonjwa wa kusahau sahau sana, siku moja wakati yupo nyumbani anafua nguo zake na usafi kwa ujumla, ghafla akaingi...

Uelewa huu?

›
Jamaa mmoja alipofika maeneo fulani fulani ya uzunguni akakuta kibao kimeandikwa "Amri hairuhusiwi kutembea eneo hili" yule kaka p...

Ndege pori

›
Eti wale ndege pori wanaopenda kula mizoga baada ya simbana wengineo kumaliza kula, na wao walipata kamzoga mpaka mwisho wa siku wakatosheka...

Shoga

›
Shoga mmoja mwanajeshi wakati yupo vitani akawa anabishana na mwanajeshi mwenzake, "we vipi unazubaa zubaa nini m-shoot huyo adui anazi...

Kwa dokta

›
Mama mmoja aliporudi nyumbani akawa anaongea mawili matatu na mumewe, kidogo anaingia mtoto wao wa kike. Wakamuuliza "enhe za hospitali...

Kwenye computer

›
Kibosile mmoja alimpigia secretary wake simu "mbona hujanijibu e-mail yangu mpaka sasa?" Secretary akajibu, "boss nimeisoma i...

Tembo

›
Kijana mmoja alikuwa na tembo wake mdogo akimfuga, siku moja wakati wapo matembezini jamaa akafungua zipu yake na kujisaidia haja ndogo, nip...

Harusi

›
Siku ya harusi bibi harusi alipofika kanisani akiwa ameshavalia gauni la harusi nk, kidogo anamuona mumewe mtarajiwa anatoka na bibi harusi ...

Simu haionekani

›
Mwanaume mmoja siku moja wakati yupo kwake ghafla akawa anasikia simu inaita halafu haioni, akaanza mlaumu mkewe " muone kwanza ushaifi...
Wednesday, July 28, 2010

Mtoto huyu

›
Mtoto wa miaka 6 wa kike alienda sebuleni alipomkuta mama yake ameketi na baba yake. Akasema, ''baba kondom yangu imepasuka una ingi...
Tuesday, July 27, 2010

Pancha

›
Baba mmoja alimuacha mwanae kwenye gari kwa muda. Punde kidogo mtoto akasikia kama gari inatikisika, kuchungulia akamuona kibaka ameinama kw...

Pancha

›
Baba mmoja alimuacha mwanae kwenye gari kwa muda. Punde kidogo mtoto akasikia kama gari inatikisika, kuchungulia akamuona kibaka ameinama kw...

Iki...

›
Mtoto mmoja alikua akimsikia baba yake usiku mara kwa mara akimwambia mama yake, ''ikisimama panda'' Siku moja akamuuliza ma...

Juice

›
Kijana mmoja alitengeneza juice ya mananasi. Alipomaliza kuitengeneza akagundua kuwa maji aliyotumia hakuyachemsha. Akawasha jiko na kuiweka...
Monday, July 26, 2010

Ufugaji kisasa

›
Jamaa mmoja mfugaji aliamua kuwa mfugaji wa kisasa. Hivyo basi akanunua mashine ya kukamulia maziwa ya ng'ombe. Siku moja mkewe alipotok...

Mama kujifungua

›
Dokta mmoja alipata dharura. Akaenda alipopigiwa simu, kufika akakuta mama mjamzito akikaribia kujifungua. Hapakuwa na mtu hapo nyumbani zai...

Mtoto alipoona

›
Siku moja mtoto alimuona mama yake akiwa karibu kujifungua. Alipoona nywele akauliza. Mtoto: Mama, nini hiyo katikati ya miguu yako? (Akimaa...

Baada ya shughuli

›
Mwanaume mmoja baada ya shughuli na mwanamke aliemuopoa, aliangalia mule chumbani kwa yule mwanamke akaona picha. Akauliza: Mwanaume: Huyu m...
Sunday, July 25, 2010

Duma

›
Jamaa mmoja alikua anaangalia kipindi cha wanyama. Akamuona Duma (chetah) anamfukuza swala akasema ''khaa, huyu myama ana kiiimbia. ...

Fumanizi

›
Mwanamke mmoja wakati yupo na kibwana cha nje. Ghafla mumewe akarudi. Hivyo akamua kumpaka unga yule bwana wa nje. Halafu akamwambia agande ...

Maktaba

›
Dada mmoja alienda maktaba alipofika akamuuliza mhusika pale maktaba 'nimekuja kumuonda daktari.' Mhusika wa maktaba akajibu huku ak...

Nimemfundisha

›
Mwanamke mmoja akimusimulia shoga yake ''mwenzangu si nimemfundisha mume wangu kuchoma mishkak pale nyumbani chini ya mti?''...

Mbele ya kioo

›
Mwanamke mmoja alimkuta mumewe yupo mbele ya kioo kikubwa akila chakula akiwa hajavaa nguo kabisa. Mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu ...

Malalamiko

›
Mwanamke: Mume wangu kila nnachompikia anasema sio kizuri. Rafiki: Umewahi jaribu kitabu cha mapishi? Mwanamke: Hapana sijajaribu je kinapik...

Kasuku wawili

›
Kasuku wawili kwenye kitabu cha hadithi wakiongea. ''Nimechoka kuishi kwenye hiki kitabu'' mmoja alimwambia mwenzake. Kasuku...

Baba, mama, mtoto

›
Baba, Mama na mtoto wakiwa mezani wanakula chakula cha jioni. Ndipo mtoto aliponena jambn, ''baba, baba... kitanda chenu kina sifa....

Mshahara

›
Jamaa mmoja akimuambia rafiki yake. ''Ndugu yangu... Mimi nadhani mshahara wangu upitie tbl tu moja kwa moja, maana wife ananinyima ...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.