chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Thursday, June 21, 2012

Baba na Bintie

›
Binti: Hi Baba Baba: Hi binti yangu? Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae Baba: Pumbavu kweli ...
Monday, June 18, 2012

Mlinziiii

›
Binti: Hi Baba Baba: Hi binti yangu? Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae Baba: Pumbavu kweli ...

Mpenda mpira

›
Jamaa mpenda mpira kajichora tattoo mwilini mwake majina ya vifaa vya michezo, demu wake akawa anayasoma. kifuani NIKE pajani REEBOK, mgongo...

Jogoo

›
Jogoo alimkimbiza jike huku akiwaza nikimpata ataipata nikimkosa nitazuga nafanya zoezi, jike aliwaza nikisimama nitaonekana malaya nikikimb...
Friday, June 15, 2012

Swali gumu

›
Mtoto alimuuliza baba ake aliporudi nyumbani akamuuliza "eti baba na wewe una nywele huku karibu na kitovu?" Baba kwa mshangao ...

Wazo la mtoto

›
Mtoto akimuambia baba yake pale sebuleni kwao palipokuwa na tanki dogo la kioo la kufugia samaki. Mtoto "baba mi naona kama hao samaki ...
Tuesday, June 12, 2012

Kipigo icho

›
Mwanaume alienda kwa daktari wake ikawa hivi: Mwanaume: Dokta, mke wangu ananitwanga mangumi mno. Dokta: Kivipi na kwa nini haswa? Mwanaume:...

Semea mbovu

›
Mwanamke akimsemea mbovu bwana ake kwenye simu "mtu mwenyewe huna ishu, kwanza sio type yangu..." Mwanaume akajibu: Mpenzi wangu k...
Sunday, June 10, 2012

Wazaramu

›
Wazaramu walimkamata mwizi wakamuweka mtu kati wakamsema weee mpaka mwizi akafa.
Wednesday, June 6, 2012

Faini ya kukojoa

›
Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta. Polisi: Wewe unajua panakatazwa kukojoa hapa? Jamaa: Sasa nimebanwa nifanyaje? Polisi: F...
Wednesday, May 30, 2012

Ajali ilivyotokea

›
Trafiki polisi akihoji palipotokea ajali "ahaa! Sasa naanza elewa embu nielezee jinsi ajali ilivyotokea wewe ukiwa kama dereva mhusika....

›
Mwanaume kwenye simu "dokta, mke wangu ameanza kuwa anafikira kama sungura...." Dokta akajibu "ihh mlete hospitali nimcheki. ...

Dawa yake

›
Mume alizoea kila mara akirudi usiku ananyimwa unyumba na mkewe kwa kisa anaumwa kichwa. Siku mume akarudi na moja kwa moja akampelekea pana...

Mshtuko wa moyo

›
Mume karudi akasikia sauti asiyoielewa toka chumbani kwake, akaenda na kukuta mkewe analalamika amepata mshtuko wa moyo. Mbio anaenda sebule...

4WD

›
Mwanaume alimnunulia pete ya almasi mkewe, rafiki akauliza "si ulisema anapenda gari yenye four wheel drive, mbona umenunua pete?"...

Ya leo mgonjwa

›
Dokta alipotembelea wodi ya mgonjwa wake aliepata ajali. Mgonjwa akiwa amening'inizwa mikono juu akauliza "dokta ntaweza kweli kup...
Sunday, May 27, 2012

Pombe basi

›
Cha pombe alikunywa sana pombe akataka ongeza mhudumu akamjibu "hapana imetosha sasa umekunywa saaana." Mlevi akajibu "nimean...

Kwa mama lishe

›
Jamaa kwa mama lishe baada ya kula wali nyama akaletewa vijiti vya kutolea nyama kwenye meno. Vilipofika tu mezani kwake akahoji "vimec...
Saturday, May 26, 2012

Wasiwasi

›
Dogo akimuongelesha mama yake aliepo sebuleni yeye akiwa jikoni "mama!" Mama nae akaitikia "ooh mwanangu" Mtoto: Unaikum...

Swali jibu tofauti

›
Mwalimu aliuliza wanafunzi wa darasa la 3 wakike kwa kiume "mlikuwaje hapo awali kabla hamjawa hivi mlivyo leo wanafunzi?" Mwali a...

Home work

›
Mwalimu: Haya James iko wapi homework yako? Mtoto: Mwalimu ilmeliwa na mbwa wetu nyumbani. Mwalimu: Nimefundisha kwa miaka 18 sasa, unadhani...
Friday, May 25, 2012

Mbio za ushindi

›
Baba: Wewe Japhet hiyo saa umeipata wapi? Mtoto: Neshinda mbio ndio nkaipata. Baba: Hizo mbio mlikua na akina nani? Mtoto: Alikuwepo polisi,...

Fala wa kwanza

›
Mume: Unaniambia walikutongoza wanaume wanne ili wakuoe? Mke: Ndio hivo hivo kama ulivyosikia. Mume: Bora hata ungeolewa huyo fala wa kwanza...
Thursday, May 24, 2012

Mwizi wa atm

›
Jamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ameripoti polisi akajibu "sijaripoti bado, mwizi mwenyewe hamfikii matumizi kama mke wa...

Kifamilia zaidi

›
Mke na mume wakiongelea suala la fedha kifamilia: Mwanaume: Sikiliza isingekua fedha hii nyumba isingewepo. Mwanamke: Na wewe sikiliza ising...
Wednesday, May 23, 2012

Hii nayo

›
Mvulana: Nilimuita boifrendi wako shoga, si akanipiga na pochi yake.

Bia

›
Mama akisimuliwa na mwanae wa miaka saba "mama tulienda bar na dada, akajisikia vibaya na kushindwa kunywa bia yake. Ikabidi mimi ndio ...
Tuesday, May 22, 2012

›
Jamaa alinunua friji jipya la zamani akaliweka nje na kuandika "friji hili ni bure nalitoa" zikapita siku mbili hamna alieamini ya...
Monday, May 21, 2012

Msaidie mwenzako

›
Jamaa mmoja alikua anamrekodi mwenzake kutumia video camera huku mhusika akicheza na moto. Ghafla moto ukashika shati la jamaa... Mpita nj...
Saturday, May 19, 2012

Cheka kidogo

›
Njia rahisi kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) vaa viatu vinavyokubana.
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.