Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.
Wednesday, January 26, 2011
Mke mwema
Jamaa mmoja aliulizwa utaoa lini? Akajibu nasubiri mwanamke atakayeachika ndo nimuoe. Watu wakamshangaa na kumuuliza kwa nini unataka aliyeachika? Akajibu, mke mwema anatoka kwa Bwana!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment