chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Monday, March 21, 2011

Kurudi shule

›
Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uth...
Friday, March 18, 2011

Kwa Babu Loliondo

›
Pale Mzee Mwapasile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema watu wapange mistari miwili: Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na k...
Wednesday, March 16, 2011

Kwa daktari

›
Kijana mmoja alienda hospitali na hivi ndivyo alivyokua akipewa majibu yake na daktari, ''pole sana ndugu yangu, vile vidoti doti vy...

Mmasai hosp.

›
Mmasai mmoja alienda hospitali kuchoa sindano, alipomaliza akamuuliza nesi asliemchoma sindano, ''we hapana ona tundu huko nyuma mpa...
Friday, March 11, 2011

Mwanamke wa Tz

›
Mwanamke mmoja wa kibongo alikua baa na wanaume wawili New York, mwanaume wa kwanza akaagiza kwa muhudumu "Johnny Walker single" w...
Thursday, March 10, 2011

Kuhesabu

›
Hasani: Jaki amefukuzwa shuleni kwa udanganyifu Joni: Kwanini? Hasani: Alikamatwa akijihesabu mbavu kwenye mtihani wa baolojia.
Saturday, March 5, 2011

Harusini

›
Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoj...

Heshima

›
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwamb...
Friday, March 4, 2011

Shanga

›
Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda gest, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? otee...
Wednesday, March 2, 2011

Nyoka tumboni

›
Mtoto mdogo alianza kumsimlia mama yake story,' Mama nilipokuwa tumboni kuna nyoka alikuwa anaingia akawa ananitisha ananitisha halaf a...
Sunday, February 27, 2011

Singa Singa

›
Singa singa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti Mkewe akamuliza una nini leo? Akajibu natafuta ringtone ya matako yangu!!!
Saturday, February 26, 2011

Shule ya msingi

›
Mtoto: baba kwanini we na mama mliacha shule ya msingi? Baba: kwan vp mwanangu? mtoto: jana ucku nilikusikia ukimwambia mama tumalizie la sa...
Thursday, February 24, 2011

Bangi

›
Jamaa mmoja aliita polisi nyumbani kwake walipofika akaulizwa "enhe kuna shida gani?" akajibu "nimeibiwa bangi nimewaita mnis...
Wednesday, February 23, 2011

Mtoto kuibiwa baiskeli

›
Mtoto aliibiwa baiskeli yake akenda kushtaki police akaulizwa unamshutumu nani?alie kuibia baiskeli yako akasema namshutumu baba na mama nim...

Bw. Rashid

›
Bwana Rashid akimuambia mwenzake "ebwana nawahi Kikoti Bar, nimeandikiwa bia za masaa"

Bia

›
Bwana Rashid akimuambia mwenzake "ebwana nawahi Kikoti Bar, nimeandikiwa bia za masaa"

Kimombo na sms

›
Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu ha...

Panya mkali.......

›
Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa Panya wa pili;ni nawez...
Tuesday, February 22, 2011

Piga picha na simu

›
Jamaa mmoja alishika simu ya mwenzake akawa anajipiga piga picha mara hivi mara vile. Mwenye simu akageuka na kumuambia "oya vipi? Unam...
Monday, February 21, 2011

Sokwe USA

›
Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya...

Kuiba bank

›
Wezi waliingia bank kuiba walipofungua safe wakaona kitu kama mtindi kutesti yes ni kama mtindi. Wakajaribu safe kama 3 ivo ivo. Mmoja akatu...

mayai ya kuku

›
Jamaa mmoja alienda kununua mayai, alipofika kwa muuza mayai akamsalimia vizuri kisha akamuuliza "samahani nimekuja kununua mimba za ku...
Sunday, February 20, 2011

Maji ya kiroba

›
I remember by then chuo maji ya viroba tunayakamulia kwenye chupa ya k'njaro. Sasa kitendo cha kukamulia tukikiita 'ku-download'
Friday, February 18, 2011

Treni shuleni

›
Mtoto wa tajiri wa kiarabu alipelekwa kusoma Germany: siku chache akampigia dad ake simu "dad wanafunzi na walimu wananishangaa naendes...

Rubani

›
Rubani wa KLM alipofika dar juzi akamuuliza msaidizi. Hii rada ni ya kichina? Inasema tuko dar lakini naona kama tuko Afghanistani!
Wednesday, February 16, 2011

Short na Long Call

›
Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
Monday, February 14, 2011

Gereji

›
Jamaa mmoja alipeleka gari yake gereji, ilikuwa inatoa kelele fulani wakati ikitembea! Baada ya masaa kadhaa aliporudi kwa fundi wake kuanga...

Alfajiri

›
Jamaa alikurupuka asubuhi mbio mbio mpaka nje ya nyumba yake, akamkuta jogoo (kuku) na kuku wengine. Akmdaka yule jogoo na kumkwida akimuamb...

Uokoaji majini

›
Jamaa mmoja alikua alipatwa na dhoruba kwenye mtumbwi, ukaja mtumbwi mwingine kuwaokoa basi jamaa akazamia na alipoibuka akaibuka na begi la...

Nani kapiga?

›
Baba mmoja aliporudi nyumbani akamkuta mwanae anapandika vi-note kwenye computer ya baba yake vimeandikwa kama ifuatavyo: Ulipoondoka James ...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.