chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Wednesday, May 30, 2012

Ajali ilivyotokea

›
Trafiki polisi akihoji palipotokea ajali "ahaa! Sasa naanza elewa embu nielezee jinsi ajali ilivyotokea wewe ukiwa kama dereva mhusika....

›
Mwanaume kwenye simu "dokta, mke wangu ameanza kuwa anafikira kama sungura...." Dokta akajibu "ihh mlete hospitali nimcheki. ...

Dawa yake

›
Mume alizoea kila mara akirudi usiku ananyimwa unyumba na mkewe kwa kisa anaumwa kichwa. Siku mume akarudi na moja kwa moja akampelekea pana...

Mshtuko wa moyo

›
Mume karudi akasikia sauti asiyoielewa toka chumbani kwake, akaenda na kukuta mkewe analalamika amepata mshtuko wa moyo. Mbio anaenda sebule...

4WD

›
Mwanaume alimnunulia pete ya almasi mkewe, rafiki akauliza "si ulisema anapenda gari yenye four wheel drive, mbona umenunua pete?"...

Ya leo mgonjwa

›
Dokta alipotembelea wodi ya mgonjwa wake aliepata ajali. Mgonjwa akiwa amening'inizwa mikono juu akauliza "dokta ntaweza kweli kup...
Sunday, May 27, 2012

Pombe basi

›
Cha pombe alikunywa sana pombe akataka ongeza mhudumu akamjibu "hapana imetosha sasa umekunywa saaana." Mlevi akajibu "nimean...

Kwa mama lishe

›
Jamaa kwa mama lishe baada ya kula wali nyama akaletewa vijiti vya kutolea nyama kwenye meno. Vilipofika tu mezani kwake akahoji "vimec...
Saturday, May 26, 2012

Wasiwasi

›
Dogo akimuongelesha mama yake aliepo sebuleni yeye akiwa jikoni "mama!" Mama nae akaitikia "ooh mwanangu" Mtoto: Unaikum...

Swali jibu tofauti

›
Mwalimu aliuliza wanafunzi wa darasa la 3 wakike kwa kiume "mlikuwaje hapo awali kabla hamjawa hivi mlivyo leo wanafunzi?" Mwali a...

Home work

›
Mwalimu: Haya James iko wapi homework yako? Mtoto: Mwalimu ilmeliwa na mbwa wetu nyumbani. Mwalimu: Nimefundisha kwa miaka 18 sasa, unadhani...
Friday, May 25, 2012

Mbio za ushindi

›
Baba: Wewe Japhet hiyo saa umeipata wapi? Mtoto: Neshinda mbio ndio nkaipata. Baba: Hizo mbio mlikua na akina nani? Mtoto: Alikuwepo polisi,...

Fala wa kwanza

›
Mume: Unaniambia walikutongoza wanaume wanne ili wakuoe? Mke: Ndio hivo hivo kama ulivyosikia. Mume: Bora hata ungeolewa huyo fala wa kwanza...
Thursday, May 24, 2012

Mwizi wa atm

›
Jamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ameripoti polisi akajibu "sijaripoti bado, mwizi mwenyewe hamfikii matumizi kama mke wa...

Kifamilia zaidi

›
Mke na mume wakiongelea suala la fedha kifamilia: Mwanaume: Sikiliza isingekua fedha hii nyumba isingewepo. Mwanamke: Na wewe sikiliza ising...
Wednesday, May 23, 2012

Hii nayo

›
Mvulana: Nilimuita boifrendi wako shoga, si akanipiga na pochi yake.

Bia

›
Mama akisimuliwa na mwanae wa miaka saba "mama tulienda bar na dada, akajisikia vibaya na kushindwa kunywa bia yake. Ikabidi mimi ndio ...
Tuesday, May 22, 2012

›
Jamaa alinunua friji jipya la zamani akaliweka nje na kuandika "friji hili ni bure nalitoa" zikapita siku mbili hamna alieamini ya...
Monday, May 21, 2012

Msaidie mwenzako

›
Jamaa mmoja alikua anamrekodi mwenzake kutumia video camera huku mhusika akicheza na moto. Ghafla moto ukashika shati la jamaa... Mpita nj...
Saturday, May 19, 2012

Cheka kidogo

›
Njia rahisi kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) vaa viatu vinavyokubana.
Wednesday, May 16, 2012

Mlizi mbio mbio

›
Tulikuwa bar moja jana mlinzi kaingia spidi, akamwambia jamaa mmoja aliyekaa kaunta, Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa Mzee: Umemtambua aliye...
1 comment:

Hakimu & hongo

›
Kesi imeanza hakimu kakaa kwenye kiti chake akatangaza; Hakimu: Mlalamikaji na mtuhumiwa wote mmeniletea hongo niwapendelee. Mlalamikaji ume...

13, 13...

›
Jamaa alikuwa anapita nje ya wodi ya vichaa akasikia mtu anesema, 13, 13, 13, 13, 13, 13,..... akaamua kuchungulia kwenye kitundu alichokion...

Ushauri wa dokta

›
Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, alipofika akamkuta jamaa kafumba macho; Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa Jamaa: Sijafa bw...

Mume anaenda kazini

›
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa...
Friday, May 11, 2012

Mama aliporudi

›
Mtoto "mama afadhali umerudi baba yupo nyumbani na anti, baba kamlalia anti kwa juu wote wanapiga kelel sijui wanaumwa nini mimi meshin...

Simu ya tochi

›
Jamaa mmoja alikua na simu yenye tochi Po. Kwenye kagiza giza rafiki yake akaiomba awashe kumulikia mwenye simu akamjibu "aahh usiiwash...
Wednesday, May 2, 2012

Kitana mapengo

›
Dukani: Nikusaidie nini kaka? Mteja: Kitana changu vile kichanio kimevunjika. Dukani: Sasa si kimoja tu vilivyobaki vingine si vipo. Mteja: ...

Hasira za mtoto

›
Baba na mtoto: Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini? Mtoto: Naenda chooni. Baba: Chooni? Kufanya nini? Mtoto: Kusafisha. Baba: Halaf...

Duka la tai

›
Jamaa alienda nunua tai alipofika ikawa hivi: Muuza duka: Karibu, nikusaidie nini? Mteja: Natafuta tai iliyochanganyika na maziwa na kahawa ...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.