chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Wednesday, July 10, 2013

Swali kwa wanafunzi

›
Mwalimu akiwa darasani akauliza swali: Haya naomba mniambie, utamuitaje mtu ambae anaongea na mtu au watu wakati huo huo wanaomsikiliza hawa...

Ma-lavi-davi

›
Msichana: Nakupenda sana na nitakufa kwa ajili yako. Mvulana akajibu: Lini haswa utakufa sasa?
1 comment:

Jibu la mpenzi

›
Mvulana na msichana wapenzi wakiwa matembezini Mvulana: Naweza kukushika mkono wako? Msichana: Hapana usijali, sio mzito.

Mhudumu na mteja

›
Mhudumu: Nikuletee black coffee? Mteje: Kwani mna coffee ya rangi gani ingine?

Swali kwa chekechea

›
Mwalimu aliuliza swali kwa wanafunzi wa chekechea kama ifuatavyo: Mwalimu: Haya mninjibu swali hili, kati ya Jua na Mwezi kipi muhimu? Mtoto...
Thursday, November 8, 2012

Mgeni huyu...

›
Wageni wengine noma...........!!!!!!!! MWENYEJI: "Utakunywa soda au chai?" MGENI: "Ntakunywa soda wakati nasubri chai ichem...
Tuesday, October 9, 2012

Kambi ya jeshi

›
Jamaa alikatiza kambi ya jeshi. Akapewa adhabu ya kubeba tofali 1,000. Alipofikisha 900 akakumbuka mkuu wa kambi kasima nae, akaenda msemea ...

Taxi na ofa

›
Jamaa kwenye taxi alimuona mke wake anaingia hotel na njemba akamuambia taxi driver "unataka tengeneza laki 2 sasa ivi?" Akajibu ...
Monday, October 8, 2012

Dokta na mgonjwa wake

›
Daktari mmoja alienda wodini akamkuta mgonjwa wake amelala usingizi maongezi yakawa hivi baada ya kumuamsha "nimekuja kukuletea dawa ya...
Friday, September 21, 2012

Mjamaika na ndoa mpya

›
Mjamaika (Rasta) mmoja alikua anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mkewe. Ghafla akasema kwa sauti kubwa na kutoka mbio chumbani alipokuwa...

Dunia kwishneii

›
Kaka wakati anafanya mapenzi na dada ake waliponogewa dada akasema "Mhh Unan... vizuri kuliko baba" Kaka nae akanena "Hata ma...

Vibweka vya mapacha

›
Mapacha wawili walipenda kula kuku na chips siku moja katika maongezi yao pacha wa kike akamuambia wa kiume "Kuku wameniambukiza manyoy...

Kaaazii ipo...

›
Njemba baada ya kuchoka fanya kazi zake nyumbani akazima taa akalala. Punde akaona mtu kasimama pembeni akauliza "we ni nani chumbani k...
Thursday, September 20, 2012

Nani wa kuja kati ya...

›
Nani mshamba kati ya hawa hapa? 1. Aleenda shop kuulizia bluetooth. 2. Aliekula hotelini akaosha vyombo. 3. Alienunua Ice Cream akaipasha mo...
Tuesday, September 18, 2012

Faini ya mwizi

›
Mume kamfumania jamaa fulani akifanya mapenzi na mke wake, akamtoza faini ya 500/= Yule jamaa akatoa fastafasta noti ya 1000/= Mume akasema,...

Hasira mmbadala

›
Mke alimwuliza mmewe "ambona mume wngu nikikuudhi huwa hukasiriki?" Mumewe akajibu "huwa ukiniudhi nachukua mswaki wako na k...

Nani zaidi?

›
Jamaa: I love you sweet. Msichana: I love you too...ila tupendane tu,mambo ya ngono sitaki namtunzia mume atakaenioa. Jamaa: Hilo si tatizo,...
Wednesday, September 12, 2012

Kichaa jalalani

›
Kichaa mmoja alikutwa jalalani. Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe? Akajibu wale wako boding mimi nipo day
Thursday, September 6, 2012

Nani azaidi?

›
Jambazi kaoa mwanamke mchawi, mtoto alipozaliwa nae akawa changudoa. Swali ni je nani atabaki nyumbani usiku?

Mwizi wakati anatoka...

›
Mwizi mmoja aliingia nyumba moja kuiba, sasa wakati anatoka mtoto wa mwenye nyumba asiependa shule akamshika mguu na kumuambia yule mwizi ...
Saturday, September 1, 2012

Kibaka na polisi

›
Polisi walikua wakimkimbiza kibaka usiku, kibaka kuona hivyo akakimbilia kunako makaburi. Alipowapotea akavua nguo na kukaa juu ya kabuli, ...
Friday, August 31, 2012

Kitu cha posa...

›
Jamaa alienda kuposa kwa mzee mmoja. Mzee: Umekuja kuposa huku unatafuna big g!!? Jamaa: Natoa harufu ya sigara. Mzee: Yani unavuta sigar...
Thursday, August 30, 2012

Wizi Vs. mkwara

›
Jamaa mmoja alimuibia nauli mzee kwenye daladala.. Mzee: jamani alieniokotea nauli yangu airudishe kabla sijafanya nilichofanya mwaka 1947....
Tuesday, August 28, 2012

Nani atupe...

›
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo...
Sunday, August 26, 2012

Kwa Dokta

›
JANE:"Daktari,kila mara baada ya kukojoa mwisho wa mkojo hutoka rangi ya brown." DAKTARI:"Mmmh,h uwa unafanya mapenzi mara ng...
Saturday, August 25, 2012

Mchungaji nae

›
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wal...
Wednesday, August 22, 2012

Pete ya dhahabu

›
Dada mmoja aliingia duka la urembo, akaona pete 1 ya dhahabu, wakati akiisogelea aione vizuri, bahati mbaya akajamba, akaangalia pande zote ...
Tuesday, August 21, 2012

Mkristo na futari

›
Ivi unafaham... Mkristu kavamia futari vuuuupu. Baada ya kula Sheikh akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa kataka kuingia mitini ila akaj...

Utambulisho

›
Semina Ubungo Plaza... watu wakaanza kujitambulisha, Wa kwanza: Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. Wa pili: Mimi naitwa S...
Thursday, August 16, 2012

Kichaa juu ya mti

›
Siku kichaa mmoja alipopanda juu ya mwembe asubuhi akakaa huko mpaka jioni, kisha ilipofika jioni akajiangusha chini mzima mzima Daktari wa...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.