Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Wednesday, May 16, 2012

Mlizi mbio mbio

Tulikuwa bar moja jana mlinzi kaingia spidi, akamwambia jamaa mmoja aliyekaa kaunta, Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa Mzee: Umemtambua aliyeiba? Mlinzi: Hapana lakini nimeandika namba za gari hizi hapa.

1 comment:

  1. Labda zitamsaidia kuwajulisha polisi kama ulevi umemsahaulisha namba ya Gari yake

    ReplyDelete