chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Sunday, February 27, 2011

Singa Singa

›
Singa singa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti Mkewe akamuliza una nini leo? Akajibu natafuta ringtone ya matako yangu!!!
Saturday, February 26, 2011

Shule ya msingi

›
Mtoto: baba kwanini we na mama mliacha shule ya msingi? Baba: kwan vp mwanangu? mtoto: jana ucku nilikusikia ukimwambia mama tumalizie la sa...
Thursday, February 24, 2011

Bangi

›
Jamaa mmoja aliita polisi nyumbani kwake walipofika akaulizwa "enhe kuna shida gani?" akajibu "nimeibiwa bangi nimewaita mnis...
Wednesday, February 23, 2011

Mtoto kuibiwa baiskeli

›
Mtoto aliibiwa baiskeli yake akenda kushtaki police akaulizwa unamshutumu nani?alie kuibia baiskeli yako akasema namshutumu baba na mama nim...

Bw. Rashid

›
Bwana Rashid akimuambia mwenzake "ebwana nawahi Kikoti Bar, nimeandikiwa bia za masaa"

Bia

›
Bwana Rashid akimuambia mwenzake "ebwana nawahi Kikoti Bar, nimeandikiwa bia za masaa"

Kimombo na sms

›
Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu ha...

Panya mkali.......

›
Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa Panya wa pili;ni nawez...
Tuesday, February 22, 2011

Piga picha na simu

›
Jamaa mmoja alishika simu ya mwenzake akawa anajipiga piga picha mara hivi mara vile. Mwenye simu akageuka na kumuambia "oya vipi? Unam...
Monday, February 21, 2011

Sokwe USA

›
Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya...

Kuiba bank

›
Wezi waliingia bank kuiba walipofungua safe wakaona kitu kama mtindi kutesti yes ni kama mtindi. Wakajaribu safe kama 3 ivo ivo. Mmoja akatu...

mayai ya kuku

›
Jamaa mmoja alienda kununua mayai, alipofika kwa muuza mayai akamsalimia vizuri kisha akamuuliza "samahani nimekuja kununua mimba za ku...
Sunday, February 20, 2011

Maji ya kiroba

›
I remember by then chuo maji ya viroba tunayakamulia kwenye chupa ya k'njaro. Sasa kitendo cha kukamulia tukikiita 'ku-download'
Friday, February 18, 2011

Treni shuleni

›
Mtoto wa tajiri wa kiarabu alipelekwa kusoma Germany: siku chache akampigia dad ake simu "dad wanafunzi na walimu wananishangaa naendes...

Rubani

›
Rubani wa KLM alipofika dar juzi akamuuliza msaidizi. Hii rada ni ya kichina? Inasema tuko dar lakini naona kama tuko Afghanistani!
Wednesday, February 16, 2011

Short na Long Call

›
Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
Monday, February 14, 2011

Gereji

›
Jamaa mmoja alipeleka gari yake gereji, ilikuwa inatoa kelele fulani wakati ikitembea! Baada ya masaa kadhaa aliporudi kwa fundi wake kuanga...

Alfajiri

›
Jamaa alikurupuka asubuhi mbio mbio mpaka nje ya nyumba yake, akamkuta jogoo (kuku) na kuku wengine. Akmdaka yule jogoo na kumkwida akimuamb...

Uokoaji majini

›
Jamaa mmoja alikua alipatwa na dhoruba kwenye mtumbwi, ukaja mtumbwi mwingine kuwaokoa basi jamaa akazamia na alipoibuka akaibuka na begi la...

Nani kapiga?

›
Baba mmoja aliporudi nyumbani akamkuta mwanae anapandika vi-note kwenye computer ya baba yake vimeandikwa kama ifuatavyo: Ulipoondoka James ...
Saturday, February 12, 2011

Mteja wa simu

›
Kuna mteja alienda kampuni ya simu na kasema anaibiwa pesa akaelezwa akajua alitumia mwenyewe mwisho akawambiwa embu ntolee na hii vibratio...
Friday, February 11, 2011

Tendo la ndoa

›
TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA: WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform WACHAGA: Mama Manka Fu...
Tuesday, February 8, 2011

Supu

›
Jamaa mmoja alikua hajaonana na rafiki yake muda mrefu! Siku aliokutana nae akamsalimia huku akamuambia "za miaka mingi aisee, unaogea ...
Sunday, February 6, 2011

Wezi wa ng'ombe

›
Wezi wa mifugo Tarime walipora mifugo kwa jamaa fulani,wakamfunga uchi ktk msalaba ucku kucha, majirani asubuhi wakaja kumpa pole,jamaa akas...
Saturday, February 5, 2011

Boss

›
Boss mmoja aliwafokea sana wafanyakazi wake akaona kama wanamdharau, siku ya pili akaning'iniza kibao kimeandikwa "Am the boss...

Mama mkwe

›
Mamamkwe na Binti wa mkwewe: Mama Mkwe:"Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na Kijana wangu" Binti:mama bila samah...
Friday, February 4, 2011

Pichu day

›
Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maa...

Kaazi kweli kwqeli

›
Mtoto: Mama kwani baba anapiga deki usiku? Mama: Hapana kwani vipi? Mtoto akajibu, "si namsikiaga wee ukisafiri anaambiwa na housegirl ...

Condom

›
Hehehehe hii mpk mimi nacheka mwenyewe! Housegel alikuta kondom chini ya kitanda imedondoka, mama house akamuuliza "unashangaa nini kwa...

Trafik + mama + mtoto

›
Mama alikamatwa na trafik polisi basi alikua na mwanae kwenye gari. Kabla hajasimama akamuambia mwanae "jifanye unaumwa mwanangu, sawa ...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.