chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Saturday, October 29, 2011

Mnyalukolo

›
Jamaa kwenye daladala pembeni kuma dada alianza kwa kumsalimia halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa google?" Dada akamjibu ...

Toto hili nalo...

›
Mtoto aligoma kutumwa na beki tatu, Mgeni aliyekuwepo sebuleni ikabidi aonyeshe busara zake akamuuliza mtoto "humu ndani mdogo nani?...

Tv kubwa

›
Babu alienda mjini kwa mwanae. Sebuleni akakuta Tv ya inch 53 na kuishangaa ilivyo kubwa. Siku moja kabla hajaridi kijijini mwanae alikuta T...

Babu huyoo

›
Babu alifanyiwa opereshen ya kusafishwa korodani na kuanikwa bahati mbaya yaliliwa na paka dokta akaamua kumbandika viazi ili asifukuzwe ...

Vipofu wawili

›
Vipofu wawili kwenye basi wakisafiri ghafla gari likapata ajali kipofu mmoja wakati anamtafuta mwenzake katika kupapasa akashika punje y...

Kuku na sikukuu

›
Kuku wangejua kusoma na kuielewa kalenda yaani kipindi cha sikukuu tusingewakuta kwenye mabanda!
Friday, October 28, 2011

Simama ukaguliwe

›
jamaa alikuwa kwa mguu alipofika getini kwenye kampaundi ya mshikaji wake akakuta kibao "SIMAMA UKAGULIWE" kwakuwa mlinzi hakuw...

Redio msalani

›
Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, ...

Mume anapobanwa

›
Mwanamke mmoja alimuona mumewe amevaa nguo ya ndani imevaliwa nje ndani. Kamuuliza "mume wangu mbona pichu umeivaa nje ndani kulikoni?...
Tuesday, October 25, 2011

›
Mkulima mmoja alifungua akaunti sasa alipopata kadi akaenda ATM alipocheki balance akazimia. Siku ya pili tena akazimia, ya tatu akapata wa ...

News

›
Jamaa walipokuwa bar akimsimulia jambo mwenzake: Joseph: Umezisikia news mpya? Ibrah: News gani tena? Joseph: Fredy kaachwa na mkewe... ...
Monday, October 24, 2011

Choo cha mbwa

›
Mtoto mmoja alimuuliza baba ake "baba yule jirani yetu kwa nini anatumia choo kimoja na mbwa wake?" Baba ake akamuuliza "kivi...

Simu hospitalini

›
Ilipigwa simu hospitalini ilipopokelewa "halo hapo ni kk hospitali?" Akajibiwa ndio. Kisha yakaendelea "ooh sasa nilitaka kuj...

Misemo ya mitaani

›
Niliidaka sehemu msemo huu "mwanaume u-handsome mwisho form six baada ya hapo inaangaliwa pesa tu."

Mume na mke wakigombana

›
Mke: Pumbafu... X%;?0++$.. Na ndiio maana si mzuri kitandani. Mume akakaa kimya tu. Mke akauliza, "si naongea na wewe mbona kimya?...
Saturday, October 22, 2011

Kisanga mahakamani

›
Jamaa alipopewa nafasi kujitetea kwa kosa la kubaka mbwa alinena ivi "mheshimiwa hakimu mbwa mwenyewe ndio alitaka akawa anajipitisha p...

Mayai kwa mtoto

›
Katoto kamoja kaliulizwa na baba ake,"mwanangu sasa mbona hujala mkate na mayai?" Kale katoto kakajibu "sa takulaje mayai wak...
Thursday, October 20, 2011

Mtoto kwenda shule

›
Mtoto mmoja akimuambia mama yake kabla ya kwenda kulala, "mama mi kesho ntakua naumwa mkono sitaenda shule" asubuhi alipoamshwa ak...
Monday, October 17, 2011

Aliuliza jamaa

›
Jamaa mmoja alitoa ya moyoni kama ifuatavyo: "nimepanda ndege, basi, pikipiki, helikopta, treni na boti. Bado kitu kimoja tu "ung...

Hesabu

›
Mwanafunzi aliandikiwa hesabu ubaoni atafute jawabu tokanalo na herufi x. Mwanafunzi akamjibu "sa mwalimu ntatafutaje x wakati hiyo hap...

Kamchezo

›
Jamaa alipaka gundi kwenye benchi akimvizia dada,mmoja akae ili atapoinuka akiinuka nguo ichanike mtegaji aone makalio ya dada. Bahati nzuri...

Kuibiwa baiskeli

›
Jamaa alienda Tanga akaibiwa baiskeli, kuulizia hakuipata. Basi akanena "inshallah ntafanya kama alivyofanys babu" Vijana walipo...
Saturday, October 15, 2011

Hii ya kitambo kilee

›
Mttoto alitumwa akanunue gazeti la tarehe 10. Akalikosa, aliporudi kwa baba yake akamjibu "baba nimekosa la terehe 10, ila menunua ya...
Friday, October 14, 2011

Vijana na mabishano

›
Kulikua na vijana watatu, wa kwanz akaangusha saa yake toka ghorofa moja hadi chini ikabomoka, wa pili na e ivo ivo. Aliporusha wa tatu haik...
Wednesday, October 12, 2011

Simu ilipopigwa

›
Mwanaume alipiga simu nyumbani akapokea mwanamke si sauti anayoifahamu. Ikawa hivi: Mwanaume: We ni nani? Mwanamke: Mimi ni house girl. M...
Monday, October 10, 2011

Hii mimba...

›
Mtoto akimjibu mama ake "mama kamimba kenyewe kadoogo tu nlikokapata, shule ntaendelea"
Sunday, October 9, 2011

Mchungaji atoa neno

›
Mchungaji kwenye msiba alinena "ndugu zangu acheni sigara, acheni pombe, starehe na ugolo tupeni kule." Bibi mmoja akajibu "...
Saturday, October 8, 2011

Toto hili?

›
Mama unajua housgel wetu ni malaika? Mama: Kwanini wasema hivyo? Mtoto: Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu a...

Mahakamani

›
Mtuhumiwa: Mheshimiwa hakimu, ilibidi nikagonge ukuta kuliko kumgonga ng'ombe. Hakimu: Ng'ombe alikua jike au dume? Mshtakiwa akaj...

Mgao umeme

›
Mtoto aliulizwa "mbwa wako alikua wapi wakati umeme unakatika?" Mtoto akajibu "alikua kwenye giza"
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.