chekazone

Ongeza siku zakuishi kwa kucheka.

Thursday, March 29, 2012

Kisanga cha mke

›
Mwanamke akihojiwa na mumewe. "mbona umechelewa kufika na ulisema ungefika saa 7mchana" mwanamke akajibu "ohh mingefika mapem...
Wednesday, March 28, 2012

Bangi bwana

›
Jamaa alivuta bangi akavua nguo zote akajicheki kwenye kioo akajiona kavaa suti. Akaenda kwa wenzake akawauliza "nimevaa suti nimepende...
Tuesday, March 27, 2012

Kizee hospitali

›
Dokta akimpa majibu mzee wa miaka 70. Dokta: Nina habari nzuri na mbaya. Mzee: Oh nipe nzuri kwanza. Dokta: Vipimo vinaonyesha una sarata...

Sharobaro kanisani

›
Mchungaji mmoja akiwapa mikono wa waumini kabla ya ibada, akamkuta kijana sharobaro akamuhoji "kijana karibu ujiunge na jeshi la Mungu...
Sunday, March 25, 2012

Mpita njia aliuliza

›
Jamaa alikua anapita njia akaona nyumba moja watu wengi mno. Akauliza "kunani hapa?" Mtu mmoja akamjibu "mjukuu kamuua bibi y...

Huduma ya dharura

›
Dokta mmoja akimsimulia mwenzake "baasi bwana, alikuja jamaa na dharura ohh mke wangu yupo kwenye taxi anakaribia kujifungua" Do...

Mkeo kajifungua...

›
Jamaa akiwa hospitali anapewa majibu na daktari "hongera sana, mkeo kajifungua mapacha wawili" Jamaa akanena "sasa mbona sik...
Friday, March 23, 2012

Maasai gesti hausi

›
Mmasai alinde nyumba ya kulala wageni ugenini. Chumbani alikuta neti imeshashushwa. Asubuhi wakamkuta kalala chini kumuuliza akajibu "m...

Enzi zilee

›
Mume alimuambia mkewe "tukumbushane enzi za uchumba wetu." Mke akasema ok. Mume "kesho tukutane kijiweni petu saa 1 usiku...
Thursday, March 22, 2012

Baba na mwana

›
Baba: Jumaa... Mtoto: Eeh baba. Baba: Niletee kiberiti. Mtoto: Cha sigara au bangi? Baba: Shika adabu yako, cha sigara. Mtoto: Cha bari...

Hausi geli mpya

›
Mzee alirudi nyumbani akakuta mkewe kaleta dada wa kazi za ndani (beki 3). Mume: Mke wangu huyu nani? Mke: Ni dada wa kazi za ndani. Mume...
Wednesday, March 21, 2012

Bangi mbaya

›
Mzee mmoja alikataza vijana wasivute bangi pembeni ya nyumba yake. Vijana wakavuta wakavua mashati na kuanza kuisukuma nyumba. Kibaka akapi...
Tuesday, March 20, 2012

Habari ya msiba

›
Jamaa mmoja mila zao ni kuchoma maiti. Alitumiwa ujumbe kuwa mama yake mzazi amekufa na kumuuliza kama wauchome moto mwili au wamsubiri mpak...

Mpaka kwa dokta

›
Jamaa alienda mpaka kwa daktari na kumuelezea "dokta ona nna karoti kwenye pua, na kipande cha pera kwenye sikio, ntakua na tatizo gani...

Kasichana

›
Mtoto mmoja wa kike miaka 12 akimsimulia mama aliporudi toka kazini. "mama mi nadhani yule hausi boi wetu atakua shoga tu." Mama ...

Ajali hii mhh!

›
Trafic polisi: Unatambua kua umeua watu 10 kwenye ajali hii? Dereva: Breki ziligoma, kushoto kuna mtu mmoja kulia wawili ungekua wewe ungee...

Kosa lingine

›
Mwanafunzi: Mwalimu nimekosa sitorudia ten a, nipo chini ya miguu yako. Mwalimu: Yaani umeongeza kosa huko chini ya miguu yangu unachunguli...

Mlokole na mlevi

›
Mlokole alipanda daladala akakaa pembeni mwa mlevi. Maongezi yao yakawa hivi: Mlokole: Unajua wewe unaenda motoni? Mlevi: Oh! Kumbe, wee k...
Saturday, March 17, 2012

Mwizi wa wallet

›
Mlevi mmoja aliibiwa wallet kwenye bus, "jamani kuna mtu kaniibia wallet yangu, naomba airudishe. Isije yakatokea yaliotokea mwaka jana...
Friday, March 16, 2012

Pombe bwana

›
Walevi wawili walikua chakali wamelewa. Wakawa wanabishana "ule mwezi ni wa kijani" mwingine anasema mwekundu. Mbele wakamkuta mt...

Boss na masikio

›
Kwenye usahili boss asiekua sikio hata moja alikua anahoji ili apate mfanyakazi mwenye sifa. Boss: Hii kazi inahitaji ufanisi, ni kwanza ni...
Thursday, March 15, 2012

Vituko vya dereva

›
Jamaa mmoja alidakwa na polisi akapaki pembeni. Gari ina vioo vyeusi aliekua anaendesha ni mmoja, akahamia kiti cha abiria mbele. Polisi ali...

Spidi kali

›
Njemba moja ilisimamishwa na trafic polisi: Polisi: Nimekusimamisha unakimbiza sana gari, spidi 90 sehemu ya kupita spidi 50. Njemba: Afan...

Kutoka gesti hausi

›
Mke: Mume wangu nimepata news zako umetoka gesti na leo. Mume: Mke wangu si kweli kabisa kama huamini kaangalie kitabu cha wageni ameandika...

Mwizi wa dhahabu

›
Mwizi mmoja alidakwa akikwapua moja ya saa kwenye duka la dhahabu, alipodakwa akasema "mkuu najua hutopenda vurugu, tufanye hivi niinun...

Gari zavutana

›
Mtoto mmoja alikua amegeuka akaona gari zinavutana akamuuliza baba ake "baba zile gari zinavutana?" Baba akajibu "ndio mwanan...

Toka usingizini

›
Jamaa alikua ametoka kulala na sura yake ya usingizi usingizi... "oya vipi umetoka kulala nini?" Jamaa akajibu "ndio" al...
Wednesday, March 14, 2012

Kitu cha dokta

›
Jamaa aliulizwa "mbona una picha kubwa ya daktari unataka kuwa dokta baadae nini?" Jamaa akajibu "nimeambiwa maumivu yakizid...

Darasa la dini

›
Kwenye kipindi cha dini darasa liliulizwa "nani anataka enda mbinguni?" Darasa zima likanyoosha. Mmoja hakunyoosha, akaulizwa kuli...

Pochi mpya

›
Jamaa mmoja alimnunulia mkewe pochi mpya. Alipofika nyumbani kumpa mkewe nae akajibu "hee hii pochi si ndio alitaka ninunulia Rashid nk...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
patastories
mnambajohn@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.