Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, March 18, 2011

Kwa Babu Loliondo

Pale Mzee Mwapasile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema watu wapange mistari miwili:
Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na Mstari wa pili watu wenye HIV/AIDS.
Watu woote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.Kuona hvo babu akasema kumbe hii dawa ya Ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa! Watu wacha wapayuke,USIIMWAAGE BABUUU

No comments:

Post a Comment