Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, March 21, 2011

Kurudi shule

Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"

No comments:

Post a Comment