Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Saturday, February 5, 2011

Boss

Boss mmoja aliwafokea sana wafanyakazi wake akaona kama wanamdharau, siku ya pili akaning'iniza kibao kimeandikwa "Am the boss". Baada ya masaa kadhaa akakuta kibao kingine kimeandikwa "mkeo amekuja anataka kibao chake ulichobandika mlangoni.

No comments:

Post a Comment