Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, February 1, 2011

maandishi ya simu

Kijana mmoja baada ya kuona kwenye daladala abiria anaekaa pembeni anatabia ya kusoma sms za wakati anaandika. Hivyo akaamua kuset maandishi madogo sana ili siku ingine mtu apata shida akitaka kusoma!

Siku moja alipanda daladala pembeni mkaka mmoja akawa anajaribu kusoma sms za jamaa baada kuona hayasomeki akamuambia yule kaka, ''kaka samahani unaweza ukaongeza ukubwa wa maandishi sioni vizuri''

No comments:

Post a Comment