Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Wednesday, February 23, 2011

Panya mkali.......

Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao,

Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa

Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu

Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"

No comments:

Post a Comment