Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, February 4, 2011

Trafik + mama + mtoto

Mama alikamatwa na trafik polisi basi alikua na mwanae kwenye gari. Kabla hajasimama akamuambia mwanae "jifanye unaumwa mwanangu, sawa eenhe?" Trafik akamuuliza "kulikoni mama mbona....?" Mama akajibu namuwahisha mtoto hosp. Ndipo mtoto akasema mbele ya trafik "eti mama ulisema niseme naumwa nini?"

No comments:

Post a Comment