Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, February 14, 2011

Gereji

Jamaa mmoja alipeleka gari yake gereji, ilikuwa inatoa kelele fulani wakati ikitembea! Baada ya masaa kadhaa aliporudi kwa fundi wake kuangalia maendeleo fundi akamjibu hivi "zile kelele hutozisikia tena nimejitahidi ku-tune sauti ya redio juu na kung'oa cha kuongezea sauti"

No comments:

Post a Comment