Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, February 21, 2011

Sokwe USA

Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya yule sokwe kujifanya yeye ndo sokwe.
Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele.
Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza
"ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"

No comments:

Post a Comment