Jamaa walikua wanapiga stori za hapa na pale maongezi yalikuwa hivi:
Jamaa A: Unajua pale ilala unapata vitu karibu vyote vya mtumba!
Jamaa B: Aacha utani bwana.
Jamaa A: Ndio nakuambia hivyo sijui nguo, ma-jagi ya umeme, mabegi nk
Jamaa B: Chakula je kipo cha mtumba?
No comments:
Post a Comment