Jamaa walienda kununua saa! Mmoja akanunua saa ya laki 2 mwingine akanunuasaa ya elfu 30. Jamaa wa kwanza akamuuliza mwenzake "utofauti wa bei je zote zinaonyesha muda sawa?"
Jamaa wa pili akajibu "hapana yako inaonyesha muda wako yangu inaonyesha muda wangu."
No comments:
Post a Comment