Mtoto aliona mbwa wakifanya mapenzi akauliza mama yake "mama wale wanafanya nini?" Mama akajibu "wanatengeneza keki." Siku ingine akaona mbuzi akajibiwa ivo ivo.
Siku moja mbele baada akaenda kwa mama yake "mama wewe na baba jana mlitengeneza keki sebuleni?"
Mama "wewe umejuaje?" Mtoto akajibu "si nimekuta juisi juisi imedondokea kwenye kapeti"
No comments:
Post a Comment