Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, April 10, 2011

Boss na Sekretari

Sekretari mmoja alimuambia mchumba wake, "boss wangu anataka kufanya mapenzi na mimi, kasema atamwaga chini shilini milioni moja niziokote ntapomaliza hapo hapo na yeye atakua keshamaliza kufanya"

Mchumba wa sekretari akamuambia, "basi kama ndio hivyo mwambie afanye kwa milioni mbili nipo tayari kwa hilo"

Baada ya masaa mawili Mchumba akapiga simu kwa sekretari na kumuuliza "bado tu hajamaliza?" Sekretari akajibu "bado hajamaliza amemwaga za sarafu sio noti"

No comments:

Post a Comment