Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Thursday, April 14, 2011

Padre

Muumini: Padri nataka kumwacha mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisa! Padri: Si bora mkeo ni nafuu, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu.
Muumini: Heeh!
Padri: Mke wa yule mwenyekit wa jumuiya pamoja na tako lake ndio bure kabisaa! anazidiwa hata na Sister leAh!
Muumini: Atii?
Padri: Actually, kwa hapa parokiani wenye nafuu ni mkeo na mke wa yule mwalimu wa Sunday School, na kwa mbali kale kabinti ka usafi wa sakrastia. Naona hawa ndio wanajitahidi.

No comments:

Post a Comment