Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Saturday, April 16, 2011

Mume akiwa bar

Mwanaume mmoja alienda bar na mkewe wa ndoa! Punde mume akaenda kaunta kununua vinywaji. Mwanamke mmoja anaejiuza mwili akaenda alipo kaa mke wa jamaa na kumuambia "hakikisha anakulipa pesa yako kwanza kabla ya kufanya nae mapenzi maana hua hatoagi hela"

No comments:

Post a Comment