Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Thursday, April 14, 2011

Mbuzi

Jamaa mmoja alikutana na mwenzake anamkokota mbuzi wake toka malishoni, maongezi yao yakawa hiivi:
Jamaa "aisee sikukuu imekaribia huwezi niuzia huyu mbuzi nile nyama?"
Mwenye mbuzi akasema "ongea taratibu huyu mbuzi mkubwa akisikia watatoroka, huyu mwingine ye hana noma ni kiziwi."

No comments:

Post a Comment