Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Saturday, April 23, 2011

Kitu uswazi

Jamaa alikumkuta mwenzake uswahilini ameinama na akionekana kama mtu alietingwa na mawazo. Alipofika karibu akamuuliza ''una nini leo mwenzangu?''

Mwenzake akamjibu, ''nasikitika tu hapa siamini kama Prince William hajanipa mwaliko kwenye Royal Wedding - UK''

No comments:

Post a Comment