Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, April 26, 2011

Jambazi

Majambazi matatu yaliyovaa na kuficha nyso zao walivamia bank. Wakaiba hela za kutosha, kabla hawajaondoka mmoja wa wale majambazi akamuona cashier mzuuri mwanadada. Alichofanya akatoa biznez kadi na kumpatia ili awasiliane nae baadae.

No comments:

Post a Comment