Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Thursday, April 28, 2011

Pichu mpya

Mke alimnunulia mumewe chupi dazan nzima zote zina rangi moja mwanzo mwisho. Mumewe akauliza ''mbona zote rangi moja watu watu si watanishangaa!!''

Mkewe akamuuliza ''watu gani hao?''

No comments:

Post a Comment