Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, April 11, 2011

Msibani

Kaka mmoja alienda kwa rafiki yake kufika akakuta watu wengi, kuuliza akaambiwa amekufa huyo rafiki yake alekuja kumtembelea. Jamaa akanena baada ya kuambiwa hivyo "haiwezekanikabisa! Amekuufa?"

Waliokimpa taharifa wakasema "ndio, inamaana hutuamini au?" Jamaa akajibu "hapana sio kwamba siwaamini ila aliniambia ikifika saa mbili nije tupange jinsi ya kukusanya rambirambi, sa nashangaa amejifanyisha kufa kabla ya muda tuliopanga mi na yeye"

No comments:

Post a Comment