Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Wednesday, March 2, 2016
Walevi wawili
Walevi wawili walikua wanabishana:
Mlevi 1: We umelewa, nakuambia ule ni mwezii unabisha.
Mlevi 2: Sio mwezi bwana, si nyota kabisa zile we huoni?
Akapita msamaria mmoja wakaona waulize "eti samahani, ule mweziii au nyota?"
Msamaria akawajibu: Ile ni tubelight imefungwa kwenye mti imefunikwa funikwa na majani.
Sahau matatizo
Jamaa mmoja alimuomba ushauri mwenzake juu ya matatizo yakiyomsonga, akamjibu kama ifuatavyo. "Namna rahisi ya kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) ni kuvaa viatu vinavyokubana."
Machizi wawili safarini
Kulikua na chizi watatu walipanda treni kuelekea Mbeya, maongezi yao kama ifuatavyo:
chizi wa kwanza: Unaona vile miti inavyokimbia?
Chizi wa pili akajibu: Eee! itabidi tupande miti tukirudi.
Chizi wa tatu: Nauli yake ipo juu nilipieni...
Mtoto kaunguza picha
Mtoto mmoja alikua kwenye daladala na mama ake. Maongezi ya mtoto yakawa hivi kwa sauti ya kusikika kwenye daladala nzima, "kwani mama tunenda wapi wakati hatujaoga?"
Sunday, January 4, 2015
Sauti toka kwenye simu: Halo, mama ako yupo nyumbani?
Msichana kakajibu: Ndio yupo
Sauti kwenye simu: Unaweza kumuita aje niongee nae tafadhani?
Msichana: Sawa, inabidi niende mtaa wa pili kumuita.
Sauti kwenye simu: Nilidhani umesema yupo nyumbani lakini?
Msichana: Ndio yupo. Hii simu ni nyumbani kwa rafiki yangu, sie tunaishi mtaa wa pili.
Wednesday, July 10, 2013
Swali kwa wanafunzi
Mwalimu akiwa darasani akauliza swali: Haya naomba mniambie, utamuitaje mtu ambae anaongea na mtu au watu wakati huo huo wanaomsikiliza hawana mvuto wa kusikiliza akiyoyasema?
Mwanafunzi mmoja akanyoosha kidole na kujibu: Jibu ni Mwalimu.
Ma-lavi-davi
Msichana: Nakupenda sana na nitakufa kwa ajili yako.
Mvulana akajibu: Lini haswa utakufa sasa?
Jibu la mpenzi
Mvulana na msichana wapenzi wakiwa matembezini
Mvulana: Naweza kukushika mkono wako?
Msichana: Hapana usijali, sio mzito.
Swali kwa chekechea
Mwalimu aliuliza swali kwa wanafunzi wa chekechea kama ifuatavyo:
Mwalimu: Haya mninjibu swali hili, kati ya Jua na Mwezi kipi muhimu?
Mtoto mmoja akanyoosha kidole na kujibu.
Mtoto: Bora mwezi
Mwalimu: Kwa nini umechagua mwezi?
Mtoto: Kwa sababu mwezi unatupa mwanga usiku wakati tuna uhitaji, lakini jua linatupatia mwanga mchana wakati hata hatuuhitaji.
Thursday, November 8, 2012
Mgeni huyu...
Wageni wengine noma...........!!!!!!!!
MWENYEJI: "Utakunywa soda au chai?"
MGENI: "Ntakunywa soda wakati nasubri chai ichemke!....."
Tuesday, October 9, 2012
Kambi ya jeshi
Jamaa alikatiza kambi ya jeshi. Akapewa adhabu ya kubeba tofali 1,000. Alipofikisha 900 akakumbuka mkuu wa kambi kasima nae, akaenda msemea aliempa adhabu: mkuu akanena "umeshabeba mangapi hadi sasa?" Jamaa akajibu "900" mkuu akanena "basi yarudishe halafu uendelee na safari yako."
Taxi na ofa
Jamaa kwenye taxi alimuona mke wake anaingia hotel na njemba akamuambia taxi driver "unataka tengeneza laki 2 sasa ivi?"
Akajibu "ndio" akapewa kazi akamchukue mke wa jamaa amlete. Akarudi na mwanamke sie jamaa akanena "huyu sio mke wangu" taxi driver akanena "najua! Huyu ni mke wangu mshikilie namfuata wako sasa."
Monday, October 8, 2012
Dokta na mgonjwa wake
Daktari mmoja alienda wodini akamkuta mgonjwa wake amelala usingizi maongezi yakawa hivi baada ya kumuamsha "nimekuja kukuletea dawa ya usingizi hii hapa kunywa"
Friday, September 21, 2012
Mjamaika na ndoa mpya
Mjamaika (Rasta) mmoja alikua anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mkewe.
Ghafla akasema kwa sauti kubwa na kutoka mbio chumbani alipokuwa, akarudi na maji kwenye jagi na kuamwagia eneo tamu la mkewe(Ukeni. Mke kwa ukali akafoka "watta gwan what you rasta man do that for?" Janaume likajibu (Rasta) "this thing too sweet me wanna dilute it. Remember am diabetic and sweet thing not good for me rasta man."
Dunia kwishneii
Kaka wakati anafanya mapenzi na dada ake waliponogewa dada akasema "Mhh Unan... vizuri kuliko baba" Kaka nae akanena "Hata mama nae kasema ivo ivo"
Vibweka vya mapacha
Mapacha wawili walipenda kula kuku na chips siku moja katika maongezi yao pacha wa kike akamuambia wa kiume "Kuku wameniambukiza manyoya." Pacha wa pili kiume akanena "nionyeshe" yule wa kike akamvulia na kumuonyesha akaona vinywele vimeota. Yule wa kiume akavua na yeye akisema "ona hata mimi wameniambukiza" Pacha wa kike anamalizia kwa kusema "Wamekuambukiza vibaya mpaka firigisi."
Kaaazii ipo...
Njemba baada ya kuchoka fanya kazi zake nyumbani akazima taa akalala.
Punde akaona mtu kasimama pembeni akauliza "we ni nani chumbani kwangu"
Akajibiwa "mimi malaika." Njemba ikauliza ina maana "nimekufa, mbona bado kijana nirudishe duniani bado nna nafasi..."
Malaika akamjibu "labda tukurudishe kama mbwa au kuku, njemba ikaona bora kuwa kuku, akiwa bandani akaanza hisi anawashwa nyuma, jogoo akamuuliza "unajihisi kama unataka kutaga?" akajibu ndio. Basi jogoo akamuambia "chuchumaa utoe mayai utamie"
Akawa anafanya ivo akijikamua ghafla akastukia kapigwa kibao na mkewe "wewe (kwa sauti ya ukali) ni nini unakunya kitandani?"
Thursday, September 20, 2012
Nani wa kuja kati ya...
Nani mshamba kati ya hawa hapa?
1. Aleenda shop kuulizia bluetooth.
2. Aliekula hotelini akaosha vyombo.
3. Alienunua Ice Cream akaipasha moto.
4. Aliemuamkia mtu kwenye TV.
5. Alieenda bank kununua sabuni.
Tuesday, September 18, 2012
Faini ya mwizi
Mume kamfumania jamaa fulani akifanya mapenzi na mke wake, akamtoza faini ya 500/= Yule jamaa akatoa fastafasta noti ya 1000/= Mume akasema,"Kesho njoo umgonge tena...mi sina change!!"
Hasira mmbadala
Mke alimwuliza mmewe "ambona mume wngu nikikuudhi huwa hukasiriki?"
Mumewe akajibu "huwa ukiniudhi nachukua mswaki wako na kusugulia chooni"
Nani zaidi?
Jamaa: I love you sweet.
Msichana: I love you too...ila tupendane tu,mambo ya ngono sitaki namtunzia mume atakaenioa.
Jamaa: Hilo si tatizo,na mimi mambo ya kuniomba pesa sitaki namtunzia mke nitakaemuoa!
Wednesday, September 12, 2012
Kichaa jalalani
Kichaa mmoja alikutwa jalalani.
Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe?
Akajibu wale wako boding mimi nipo day
Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe?
Akajibu wale wako boding mimi nipo day
Thursday, September 6, 2012
Nani azaidi?
Jambazi kaoa mwanamke mchawi, mtoto alipozaliwa nae akawa changudoa. Swali ni je nani atabaki nyumbani usiku?
Mwizi wakati anatoka...
Mwizi mmoja aliingia nyumba moja kuiba, sasa wakati anatoka mtoto wa mwenye nyumba asiependa shule akamshika mguu na kumuambia yule mwizi "usipochukua na begi langu la madaftari ya shule napiga kelele"
Saturday, September 1, 2012
Kibaka na polisi
Polisi walikua wakimkimbiza kibaka usiku, kibaka kuona hivyo akakimbilia kunako makaburi.
Alipowapotea akavua nguo na kukaa juu ya kabuli, polisi walipofika akaulizwa "aroo hujaona kibaka akipita hapa?"
Kibaka akajibu "mie mwenyewe mgeni hapa nimezikwa jana tu, labda uwaulize hao waliolala."
Alipowapotea akavua nguo na kukaa juu ya kabuli, polisi walipofika akaulizwa "aroo hujaona kibaka akipita hapa?"
Kibaka akajibu "mie mwenyewe mgeni hapa nimezikwa jana tu, labda uwaulize hao waliolala."
Subscribe to:
Posts (Atom)