Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, January 28, 2011

Kukariri kwa mtihani

Dogo mmoja alikua na test (shule za dot com) akawa anakariri sehemu za mwili wa binadamu. Akaenda sebuleni alipo mama ake ili amuulize kwa kunong'ona "mama eti uume unaitwaje kwa kizungu?" Akajibiwa kwa kunong'onezwa "penis" then dogo si akaanza kuondoka huku akinena mbele ya wageni kwa sauti kidogo "penis, penis, penis...."

No comments:

Post a Comment