Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Wednesday, January 26, 2011

Mke mwema

Jamaa mmoja aliulizwa utaoa lini? Akajibu nasubiri mwanamke atakayeachika ndo nimuoe. Watu wakamshangaa na kumuuliza kwa nini unataka aliyeachika? Akajibu, mke mwema anatoka kwa Bwana!

No comments:

Post a Comment