Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Tuesday, January 4, 2011

Mirathi

Mwalimu mmoja aliuliza swali moja kwenye mtihani.
''tajiri mmoja aliacha urithi wa dola milioni 10. Moja na nusu kwa mwanae wa kike, moja na nusu kwa wa kiume, moja point 6 kwa kaka, iliyobaki yote kwa mkewe. Sasa kila mtu atapata nini?''

Mwalimu aliuliza darasa. Kimya kikatawala punde mtoto mmoja akanyoosha kidole na kujibu ''watapata mwanasheria''

No comments:

Post a Comment