Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Friday, January 7, 2011

Maongezi matamu

Jamaa mmoja alipokua akiongea na mwenzake akimsimulia mwenzake jambo moto moto. Sasa akawa anamuambia kwa masham sham, jamaa aliekua akisimuliwa akawa anajibu ''aaah usinambie...''

Jamaa akawa baada ya muda amekaa kimya yaani msimuliaji, ''mbona huendelei na story?''
Mwenzake akanena ''mbona huongei tena?''
Akajibiwa ''sa si umesema nsikuambie''

No comments:

Post a Comment