Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Friday, September 21, 2012
Kaaazii ipo...
Njemba baada ya kuchoka fanya kazi zake nyumbani akazima taa akalala.
Punde akaona mtu kasimama pembeni akauliza "we ni nani chumbani kwangu"
Akajibiwa "mimi malaika." Njemba ikauliza ina maana "nimekufa, mbona bado kijana nirudishe duniani bado nna nafasi..."
Malaika akamjibu "labda tukurudishe kama mbwa au kuku, njemba ikaona bora kuwa kuku, akiwa bandani akaanza hisi anawashwa nyuma, jogoo akamuuliza "unajihisi kama unataka kutaga?" akajibu ndio. Basi jogoo akamuambia "chuchumaa utoe mayai utamie"
Akawa anafanya ivo akijikamua ghafla akastukia kapigwa kibao na mkewe "wewe (kwa sauti ya ukali) ni nini unakunya kitandani?"
Thursday, September 20, 2012
Nani wa kuja kati ya...
Nani mshamba kati ya hawa hapa?
1. Aleenda shop kuulizia bluetooth.
2. Aliekula hotelini akaosha vyombo.
3. Alienunua Ice Cream akaipasha moto.
4. Aliemuamkia mtu kwenye TV.
5. Alieenda bank kununua sabuni.
Tuesday, September 18, 2012
Faini ya mwizi
Mume kamfumania jamaa fulani akifanya mapenzi na mke wake, akamtoza faini ya 500/= Yule jamaa akatoa fastafasta noti ya 1000/= Mume akasema,"Kesho njoo umgonge tena...mi sina change!!"
Hasira mmbadala
Mke alimwuliza mmewe "ambona mume wngu nikikuudhi huwa hukasiriki?"
Mumewe akajibu "huwa ukiniudhi nachukua mswaki wako na kusugulia chooni"
Nani zaidi?
Jamaa: I love you sweet.
Msichana: I love you too...ila tupendane tu,mambo ya ngono sitaki namtunzia mume atakaenioa.
Jamaa: Hilo si tatizo,na mimi mambo ya kuniomba pesa sitaki namtunzia mke nitakaemuoa!
Wednesday, September 12, 2012
Kichaa jalalani
Kichaa mmoja alikutwa jalalani.
Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe?
Akajibu wale wako boding mimi nipo day
Jamaa akamuuliza wewe mbona ukohapa wakati wenzio wapomilembe?
Akajibu wale wako boding mimi nipo day
Thursday, September 6, 2012
Nani azaidi?
Jambazi kaoa mwanamke mchawi, mtoto alipozaliwa nae akawa changudoa. Swali ni je nani atabaki nyumbani usiku?
Mwizi wakati anatoka...
Mwizi mmoja aliingia nyumba moja kuiba, sasa wakati anatoka mtoto wa mwenye nyumba asiependa shule akamshika mguu na kumuambia yule mwizi "usipochukua na begi langu la madaftari ya shule napiga kelele"
Saturday, September 1, 2012
Kibaka na polisi
Polisi walikua wakimkimbiza kibaka usiku, kibaka kuona hivyo akakimbilia kunako makaburi.
Alipowapotea akavua nguo na kukaa juu ya kabuli, polisi walipofika akaulizwa "aroo hujaona kibaka akipita hapa?"
Kibaka akajibu "mie mwenyewe mgeni hapa nimezikwa jana tu, labda uwaulize hao waliolala."
Alipowapotea akavua nguo na kukaa juu ya kabuli, polisi walipofika akaulizwa "aroo hujaona kibaka akipita hapa?"
Kibaka akajibu "mie mwenyewe mgeni hapa nimezikwa jana tu, labda uwaulize hao waliolala."
Friday, August 31, 2012
Kitu cha posa...
Jamaa alienda kuposa kwa mzee mmoja.
Mzee: Umekuja kuposa huku unatafuna big g!!?
Jamaa: Natoa harufu ya sigara.
Mzee: Yani unavuta sigara!?
Jamaa: Vile nikitoka kilabu kulewa tu.
Mzee: Unalewa!?
Jamaa: Nilianza kulewa nilipokuwa jela.
Mzee: Yaani na kufungwa pia!?
Jamaa: Ah niliua mtu.
Mzee: Duh kumbe wewe muuaji!?
Jamaa: Ah, si kuna mzee nilitaka kumposa mwanae akanikatalia, mimi nikamuulia mbali.
Mzee: Karibu baba, unataka harusi lini? Mimi sina tabu, mke mkeo uyu! Na mahali utaleta ukipata haina shida.
Mzee: Umekuja kuposa huku unatafuna big g!!?
Jamaa: Natoa harufu ya sigara.
Mzee: Yani unavuta sigara!?
Jamaa: Vile nikitoka kilabu kulewa tu.
Mzee: Unalewa!?
Jamaa: Nilianza kulewa nilipokuwa jela.
Mzee: Yaani na kufungwa pia!?
Jamaa: Ah niliua mtu.
Mzee: Duh kumbe wewe muuaji!?
Jamaa: Ah, si kuna mzee nilitaka kumposa mwanae akanikatalia, mimi nikamuulia mbali.
Mzee: Karibu baba, unataka harusi lini? Mimi sina tabu, mke mkeo uyu! Na mahali utaleta ukipata haina shida.
Thursday, August 30, 2012
Wizi Vs. mkwara
Jamaa mmoja alimuibia nauli mzee kwenye daladala..
Mzee: jamani alieniokotea nauli yangu airudishe kabla sijafanya nilichofanya mwaka 1947. Kijana kwa kutetemeka akarudisha hela ya babu alafu akauliza kwani babu ulifanya nini mwaka 1947 Mzee akajibu nilitembea kutoka mbagala mpaka posta.
Mzee: jamani alieniokotea nauli yangu airudishe kabla sijafanya nilichofanya mwaka 1947. Kijana kwa kutetemeka akarudisha hela ya babu alafu akauliza kwani babu ulifanya nini mwaka 1947 Mzee akajibu nilitembea kutoka mbagala mpaka posta.
Tuesday, August 28, 2012
Nani atupe...
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele" Muhindi Akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwetu zipo kibao, Mmasai akatupa shanga.. Mchaga anahaha hajui atupe nini kila kitu chake anakionea uchungu ,ghafla alimtumbukiza Mmasai akasema"Yesu na maria hawa wapo tere ARUSHA"
Sunday, August 26, 2012
Kwa Dokta
JANE:"Daktari,kila mara baada ya kukojoa mwisho wa mkojo hutoka rangi ya brown."
DAKTARI:"Mmmh,h uwa unafanya mapenzi mara ngapi kwa siku?"
JANE:"Hee,ati siku! Mi hufanya mara mbili kwa mwaka dokta."
DAKTARI:"Huo si ugonjwa ni kutu!"
Saturday, August 25, 2012
Mchungaji nae
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema,
WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yumwema,
MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa,mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba,
mara likasikika bonge la kofi siti za nyuma!
Kumbe mtoto 1 alimgeukia baba yake na kumwambia leo utapata mimba.
Wednesday, August 22, 2012
Pete ya dhahabu
Dada mmoja aliingia duka la urembo, akaona pete 1 ya dhahabu, wakati akiisogelea aione vizuri, bahati mbaya akajamba, akaangalia pande zote kama kuna mtu kamsikia, alipogeuka nyuma akakutana macho kwa macho na muuzaji.
Kwa aibu akazuga akamuuliza muuzaji hii pete unauza shilingi ngapi? Muuzaji akamjibu "kuiona tu umejamba, je nikikutajia bei si utakunya hapa hapa?"
Tuesday, August 21, 2012
Mkristo na futari
Ivi unafaham... Mkristu kavamia futari vuuuupu. Baada ya kula Sheikh akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa kataka kuingia mitini ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa:Ya Tawfiq. Watu:Amin.
Jamaa:Ya Habib.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Shabiby.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Abood.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Hood.
Watu:Amin.
Jamaa:Ya Scandnavia.
Watu:kimya!
Jamaa:Ya Ngorika.
Watu:Mhhhhhhh!
Jamaa:Ya Dar Express!
Watu:Aaaaa, chezea sisi kamata tia bakora mwanaharamu huyu!
Utambulisho
Semina Ubungo Plaza... watu wakaanza kujitambulisha,
Wa kwanza: Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW.
Wa pili: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION.
Wa tatu: Kwa kusuasua sana huku akijishtukia, mimi naitwa Paul niko TANESCO mwaka wa4 nasoma MITA!!
Thursday, August 16, 2012
Kichaa juu ya mti
Siku kichaa mmoja alipopanda juu ya mwembe asubuhi akakaa huko mpaka jioni, kisha ilipofika jioni akajiangusha chini mzima mzima
Daktari wa wagonjwa akili akamuuliza "mbona umejiangusha?"
Yule Kichaa akajibu "Nimeiva tayari"
Daktari wa wagonjwa akili akamuuliza "mbona umejiangusha?"
Yule Kichaa akajibu "Nimeiva tayari"
Tuesday, August 14, 2012
Simu ya nani?
Jamaa mmoja alipanda kwenye gari, wakati wapo safarini dereva wa ile gari akawasha redio, kwa vile ilikuwa na sauti ndogo na spika zake ndogo yule aliyepewa lifti akajikuta akipayuka bila kujua "simu ya nani hiyo inaita muda mrefu?" asijue kuwa ni mziki toka kwenye redio.
Baba mbali na familia
Mzee mmoja alikua anafanya kazi mbali na familia yake, siku moja alipata likizo akarudi kuwa karibu na familia yake. Alipoika mtoto wake akamuuliza mama yake "mama huyu nani?" mama nae bila hiyana akajibu "ni baba yako huyu"
Mtoto akahoji tena "sasa na yule anaelalaga chumbani kwako kama baba hayupo sio ndio baba yule?"
Thursday, June 21, 2012
Baba na Bintie
Binti: Hi Baba
Baba: Hi binti yangu?
Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae
Baba: Pumbavu kweli wewe unadhani nitashtuka? Safari njema na nisione sura yako tena hapa!
Binti: Samahani baba... Nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama
Baba: Umesema.????.!
Monday, June 18, 2012
Mlinziiii
Binti: Hi Baba
Baba: Hi binti yangu?
Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae
Baba: Pumbavu kweli wewe unadhani nitashtuka? Safari njema na nisione sura yako tena hapa!
Binti: Samahani baba... Nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama
Baba: Umesema.????.!!
Mpenda mpira
Jamaa mpenda mpira kajichora tattoo mwilini mwake majina ya vifaa vya michezo, demu wake akawa anayasoma. kifuani NIKE pajani REEBOK, mgongoni PUMA kiunoni UMBRO matakoni FIFA, kwenye uume AIDS, msichana akashtuka kwa nini umeandika hapa AIDS jamaa akamwambia usiogope imelala tuu ikisimama patasomeka ADIDAS!
Jogoo
Jogoo alimkimbiza jike huku akiwaza nikimpata ataipata nikimkosa nitazuga nafanya zoezi, jike aliwaza nikisimama nitaonekana malaya nikikimbia nitalala na hamu ya kufanya.
Friday, June 15, 2012
Swali gumu
Mtoto alimuuliza baba ake aliporudi nyumbani akamuuliza "eti baba na wewe una nywele huku karibu na kitovu?"
Baba kwa mshangao "wee mtoto umeona wapi hizo nywele?" Mtoto akajibu bila wasi wasi "baba mi meuliza tu maana yule anko anaekuja kwa mama ukiwa haupo nlimuona anazo"
Wazo la mtoto
Mtoto akimuambia baba yake pale sebuleni kwao palipokuwa na tanki dogo la kioo la kufugia samaki.
Mtoto "baba mi naona kama hao samaki wana kiu si uwaekee maji ya kunywa!"
Tuesday, June 12, 2012
Kipigo icho
Mwanaume alienda kwa daktari wake ikawa hivi:
Mwanaume: Dokta, mke wangu ananitwanga mangumi mno.
Dokta: Kivipi na kwa nini haswa?
Mwanaume: Mara zote anikutapo chumbani kwa house girl.
Semea mbovu
Mwanamke akimsemea mbovu bwana ake kwenye simu "mtu mwenyewe huna ishu, kwanza sio type yangu..."
Mwanaume akajibu: Mpenzi wangu kwani vipi? Nipo bank kwa sasa...
Mwanamke kusikia ivyo akanena "ohh mpenzi basi uje na laki moja nimeishiwa kitu..."
Sunday, June 10, 2012
Wednesday, June 6, 2012
Faini ya kukojoa
Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta.
Polisi: Wewe unajua panakatazwa kukojoa hapa?
Jamaa: Sasa nimebanwa nifanyaje?
Polisi: Faini yake elfu tano.
Jamaa akatoa noti ya elfu 10.
Polisi: Sasa chenji tunaipataje?
Jamaa: Tafuta chenji unipe changu.
Polisi: Basi kojoa tena...
Subscribe to:
Posts (Atom)