Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Wednesday, February 23, 2011

Panya mkali.......

Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao,

Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa

Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu

Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"

Tuesday, February 22, 2011

Piga picha na simu

Jamaa mmoja alishika simu ya mwenzake akawa anajipiga piga picha mara hivi mara vile. Mwenye simu akageuka na kumuambia "oya vipi? Unamaliza mkanda (film)?"

Monday, February 21, 2011

Sokwe USA

Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya yule sokwe kujifanya yeye ndo sokwe.
Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele.
Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza
"ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"

Kuiba bank

Wezi waliingia bank kuiba walipofungua safe wakaona kitu kama mtindi kutesti yes ni kama mtindi. Wakajaribu safe kama 3 ivo ivo. Mmoja akatumwa aangalie nje jina la benk. Akarudi na kujibu ni benk ndio. Wakamuuliza which bank exactly? Akajibu 'The Sperm Bank of Dar"

mayai ya kuku

Jamaa mmoja alienda kununua mayai, alipofika kwa muuza mayai akamsalimia vizuri kisha akamuuliza "samahani nimekuja kununua mimba za kuku zipo?"

Sunday, February 20, 2011

Maji ya kiroba

I remember by then chuo maji ya viroba tunayakamulia kwenye chupa ya k'njaro. Sasa kitendo cha kukamulia tukikiita 'ku-download'

Friday, February 18, 2011

Treni shuleni

Mtoto wa tajiri wa kiarabu alipelekwa kusoma Germany: siku chache akampigia dad ake simu "dad wanafunzi na walimu wananishangaa naendesha Mercedes 2011, wkt wao wanakuja na treni chuo" baba akajibu "pole son, basi ntakununulia treni yako na wewe"

Rubani

Rubani wa KLM alipofika dar juzi akamuuliza msaidizi. Hii rada ni ya kichina? Inasema tuko dar lakini naona kama tuko Afghanistani!

Wednesday, February 16, 2011

Short na Long Call

Kama haja ndogo ni
''short call''

Haja kubwa ni
"long call"

Basi kujamba iitwe
"missed call"

Monday, February 14, 2011

Gereji

Jamaa mmoja alipeleka gari yake gereji, ilikuwa inatoa kelele fulani wakati ikitembea! Baada ya masaa kadhaa aliporudi kwa fundi wake kuangalia maendeleo fundi akamjibu hivi "zile kelele hutozisikia tena nimejitahidi ku-tune sauti ya redio juu na kung'oa cha kuongezea sauti"

Alfajiri

Jamaa alikurupuka asubuhi mbio mbio mpaka nje ya nyumba yake, akamkuta jogoo (kuku) na kuku wengine. Akmdaka yule jogoo na kumkwida akimuambia "pumbavu kabisa umepitiliza kwa nini hujawika uniamshe?"

Uokoaji majini

Jamaa mmoja alikua alipatwa na dhoruba kwenye mtumbwi, ukaja mtumbwi mwingine kuwaokoa basi jamaa akazamia na alipoibuka akaibuka na begi la ngua na kumuambia aliekuja na mtubwi mingine "enhe nipokee begi hili nimfuate mke wangu sasa"

Nani kapiga?

Baba mmoja aliporudi nyumbani akamkuta mwanae anapandika vi-note kwenye computer ya baba yake vimeandikwa kama ifuatavyo: Ulipoondoka James alipiga simu ya mama, Julius nae alipiga simu ya mama, Davis nae alipiga simu ya mama.

Saturday, February 12, 2011

Mteja wa simu

Kuna mteja alienda kampuni ya simu na kasema anaibiwa pesa akaelezwa akajua alitumia mwenyewe mwisho akawambiwa embu ntolee na hii vibration nadhani inachangia kumaliza pesa haraka nkipokea au kupiga simu!

Friday, February 11, 2011

Tendo la ndoa

TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA:
WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform

WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi

WAPEMBA: Mama Ali panua paja mti waja!

WAZARAMO:((hamna tafsida)andaa k*#, mb*$ yaja

Tuesday, February 8, 2011

Supu

Jamaa mmoja alikua hajaonana na rafiki yake muda mrefu! Siku aliokutana nae akamsalimia huku akamuambia "za miaka mingi aisee, unaogea supu nini?"

Sunday, February 6, 2011

Wezi wa ng'ombe

Wezi wa mifugo Tarime walipora mifugo kwa jamaa fulani,wakamfunga uchi ktk msalaba ucku kucha,
majirani asubuhi wakaja kumpa pole,jamaa akasema sisikitikii ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu ndama waliemuacha akaja kuninyonya naniliu usiku kucha akidhani ni titi la mama yake,nipo hoi nimepiga 8.

Saturday, February 5, 2011

Boss

Boss mmoja aliwafokea sana wafanyakazi wake akaona kama wanamdharau, siku ya pili akaning'iniza kibao kimeandikwa "Am the boss". Baada ya masaa kadhaa akakuta kibao kingine kimeandikwa "mkeo amekuja anataka kibao chake ulichobandika mlangoni.

Mama mkwe

Mamamkwe na Binti wa mkwewe:
Mama Mkwe:"Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na Kijana wangu"
Binti:mama bila samahani,huku Chini nina njia ya Uzazi na sio Machine ya Photocopy!!

Friday, February 4, 2011

Pichu day

Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake umevaa chupi chafu. Ukicheka utakuwa umevaa iliyochanika. Ukimuonesha mtu hii sms utakuwa umevaa oversize. "HAPPY CHUPI DAY"

Kaazi kweli kwqeli

Mtoto: Mama kwani baba anapiga deki usiku? Mama: Hapana kwani vipi? Mtoto akajibu, "si namsikiaga wee ukisafiri anaambiwa na housegirl amwage nje"

Condom

Hehehehe hii mpk mimi nacheka mwenyewe! Housegel alikuta kondom chini ya kitanda imedondoka, mama house akamuuliza "unashangaa nini kwani we hufanyagi?" Housegel akajibu "nafanyaga mama ila sio mpaka ngozi inatoka kama hii." Eti condom

Trafik + mama + mtoto

Mama alikamatwa na trafik polisi basi alikua na mwanae kwenye gari. Kabla hajasimama akamuambia mwanae "jifanye unaumwa mwanangu, sawa eenhe?" Trafik akamuuliza "kulikoni mama mbona....?" Mama akajibu namuwahisha mtoto hosp. Ndipo mtoto akasema mbele ya trafik "eti mama ulisema niseme naumwa nini?"

Thursday, February 3, 2011

Viti vya Bar

Jamaa mmoja alimpigia simu mwenzake mmoja aliepanga kukutana nae bar na kumuambia kama ifuatavyo "kaka ee! Usije tena hii bar nliyokuelekeza, viti vyote vimeyeyuka na joto la Dar"

Tuesday, February 1, 2011

maandishi ya simu

Kijana mmoja baada ya kuona kwenye daladala abiria anaekaa pembeni anatabia ya kusoma sms za wakati anaandika. Hivyo akaamua kuset maandishi madogo sana ili siku ingine mtu apata shida akitaka kusoma!

Siku moja alipanda daladala pembeni mkaka mmoja akawa anajaribu kusoma sms za jamaa baada kuona hayasomeki akamuambia yule kaka, ''kaka samahani unaweza ukaongeza ukubwa wa maandishi sioni vizuri''

Sunday, January 30, 2011

Dhambi

Ndoto zingine bwana zinachekesha kweli,nimeota 2ko mbinguni 2mepewa karatasi kila mmoja aorodheshe madhambi yake yote,kilichonichekesha nipale niliposikia sauti yako ukisema niongezee karatasi nyingine tafadhali kwani hii haitoshi.

Kicheche

Jamaa mmoja alimpata mdada mmoja wakakubaliana kufanya mapenzi kwenye gari. Ghafla yule dada akamuambia yule kaka ''ooh samahani nilisahau kukuambia mimi najiuza na huwa namchaji mwanaume elfu 10 kwa tendo.

Na yule mwanaume akanena ''ooh hata mi lisahau mimi ni dereva taxi na huwa nacharge elfu 10 kwa abiria aina yako''

Saturday, January 29, 2011

Beki tatu

House girl akifagia chumba cha wazee akaona condomu ilo2mika, akastuka? Mama akamwambia unashangaa nini? Kwani nyie hamfanyi? Akajibu tunafanya mama ila hatutoi wanaume ngozi.

Friday, January 28, 2011

Soma hii

Bi. Harusi bikra siku moja akamuambia mumewe mie sijawahi fanya kabisa tendo. Hivyo naomba unifundishe.

Mume akakubali, ''haya tunaanza darasa, sasa tuite uke wako ni jele, uume wangu mfungwa''
Wakaanza shughuli, bi. Harusi akanogowa akawa anaomba tena huku akisema ''mfungwa katoroka''

ilipofika round ya tano alipoomba mume akajibu ''alaa we mjinga nini kwani umesikia amefungwa maisha huyu?''

Shoga

Hakim alimwambia shoga,una hatia kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Jitetee.
Shoga akajibu: Mheshimiwa Hakim samahani, mi sikujua kuwa mk***u wangu ni mali ya SERIKALI!