Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Monday, October 24, 2011
Choo cha mbwa
Mtoto mmoja alimuuliza baba ake "baba yule jirani yetu kwa nini anatumia choo kimoja na mbwa wake?" Baba ake akamuuliza "kivipi mwanangu sijakuelewa?" Mtoto akaiju "namuonaga akienda kukojoa pale kwenye ule mti kila siku na mbwa pia hapo hapo."
Simu hospitalini
Ilipigwa simu hospitalini ilipopokelewa "halo hapo ni kk hospitali?" Akajibiwa ndio. Kisha yakaendelea "ooh sasa nilitaka kujua hali ya mgonjwa chumba namba 80."
Nesi akijibu "oh yule mgonjwa yupo anaendelea vizuri, bp imeshuka na sukari pia unatengemaa vyema mpaka sasa. Kwani wewe ni nani mwwnzangu?"
Toka kwenye simu ikajibiwa "mimi mgonjwa chumba namba 80 nikiuliza maana hamna alieniambia hivyo."

Misemo ya mitaani
Niliidaka sehemu msemo huu "mwanaume u-handsome mwisho form six baada ya hapo inaangaliwa pesa tu."
Mume na mke wakigombana
Mke: Pumbafu... X%;?0++$.. Na ndiio maana si mzuri kitandani.
Mume akakaa kimya tu. Mke akauliza, "si naongea na wewe mbona kimya?"
Mume akajibu: Nipo kitandani namaliza usingizi ili niwe mzuri kitandani.
Mume akakaa kimya tu. Mke akauliza, "si naongea na wewe mbona kimya?"
Mume akajibu: Nipo kitandani namaliza usingizi ili niwe mzuri kitandani.
Saturday, October 22, 2011
Kisanga mahakamani
Jamaa alipopewa nafasi kujitetea kwa kosa la kubaka mbwa alinena ivi "mheshimiwa hakimu mbwa mwenyewe ndio alitaka akawa anajipitisha pitisha kila mara..."
Mayai kwa mtoto
Katoto kamoja kaliulizwa na baba ake,"mwanangu sasa mbona hujala mkate na mayai?" Kale katoto kakajibu "sa takulaje mayai wakati hayajachinjwa kuku walio ndani yake?"
Thursday, October 20, 2011
Mtoto kwenda shule
Mtoto mmoja akimuambia mama yake kabla ya kwenda kulala, "mama mi kesho ntakua naumwa mkono sitaenda shule" asubuhi alipoamshwa akakumbushia "mama si nlikuambia ntakua naumwa mkono jamani?"
Monday, October 17, 2011
Aliuliza jamaa
Jamaa mmoja alitoa ya moyoni kama ifuatavyo:
"nimepanda ndege, basi, pikipiki, helikopta, treni na boti. Bado kitu kimoja tu "ungo" je mnapaki wapi nijue naanzia wapi?"
"nimepanda ndege, basi, pikipiki, helikopta, treni na boti. Bado kitu kimoja tu "ungo" je mnapaki wapi nijue naanzia wapi?"
Hesabu
Mwanafunzi aliandikiwa hesabu ubaoni atafute jawabu tokanalo na herufi x. Mwanafunzi akamjibu "sa mwalimu ntatafutaje x wakati hiyo hapo naiona?"
Kamchezo
Jamaa alipaka gundi kwenye benchi akimvizia dada,mmoja akae ili atapoinuka akiinuka nguo ichanike mtegaji aone makalio ya dada. Bahati nzuri dada mmoja alikaa punde akahisi tofauti alipoinuka akainuka na benchi zima na si nguo kuchanika.
Kuibiwa baiskeli
Jamaa alienda Tanga akaibiwa baiskeli, kuulizia hakuipata. Basi akanena "inshallah ntafanya kama alivyofanys babu"
Vijana waliposikia wakamrudishia na kumuuliza "babu yako alifanya nini?" Jamaa akajibu "alishukuru Mungu akanunua ingine"
Vijana waliposikia wakamrudishia na kumuuliza "babu yako alifanya nini?" Jamaa akajibu "alishukuru Mungu akanunua ingine"
Saturday, October 15, 2011
Hii ya kitambo kilee
Mttoto alitumwa akanunue gazeti la tarehe 10.
Akalikosa, aliporudi kwa baba yake akamjibu
"baba nimekosa la terehe 10, ila menunua ya tarehe 5 mawili"
Akalikosa, aliporudi kwa baba yake akamjibu
"baba nimekosa la terehe 10, ila menunua ya tarehe 5 mawili"
Friday, October 14, 2011
Vijana na mabishano
Kulikua na vijana watatu, wa kwanz akaangusha saa yake toka ghorofa moja hadi chini ikabomoka, wa pili na e ivo ivo. Aliporusha wa tatu haikubomoka wakamuuliza "imekuwaje?" Jamaa akawajibu "saa yangu iko nyuma dakika 5"
Wednesday, October 12, 2011
Simu ilipopigwa
Mwanaume alipiga simu nyumbani akapokea mwanamke si sauti anayoifahamu. Ikawa hivi:
Mwanaume: We ni nani?
Mwanamke: Mimi ni house girl.
Mwanaume: Mbona sijaajiri house girl kwangu.
Mwanamke: Nimeajiliwa asubuhi hii...
Mwanaume: Huyo mwanamke alekuajiri yu wapi?
Mwanamke: Yupo chumbani na mume wake.
Mwanaume: Enhe? Nani? Mi ndio mumewe. Sasa sikiliza unataka kupata milioni 4?
Mwanamke: Ndio baba.
Mwanaume: Nenda kachukue pisto ipo... Kisha uwatungue wote pumbavu zao.
Mwanamke alipofanya akarudi kwenye simu "enhe sasa mzee miili yao naiweka wapi?
Mwanaume akajibu "itupe kwenye swimming pool.
Mwanamke akajibu "lakini hamna swimming hapa nyumbani"
Mwanaume akanena "ngoja kwanza hapo ni nyumba plot. No. 811?"

Monday, October 10, 2011
Hii mimba...
Mtoto akimjibu mama ake "mama kamimba kenyewe kadoogo tu nlikokapata, shule ntaendelea"
Sunday, October 9, 2011
Mchungaji atoa neno
Mchungaji kwenye msiba alinena "ndugu zangu acheni sigara, acheni pombe, starehe na ugolo tupeni kule."
Bibi mmoja akajibu "wee mchungaji nani atupe ugolo?"
Bibi mmoja akajibu "wee mchungaji nani atupe ugolo?"
Saturday, October 8, 2011
Toto hili?
Mama unajua housgel wetu ni malaika? Mama: Kwanini wasema hivyo?
Mtoto: Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na Yesu akisema ooh! Yesu wangu nakuja... oooh! Yesu wangu nakuja jaman! yaan isingekuwa baba kumshikilia kwa nyuma naye akiwa uchi, saa hizi dada angekuwa mbinguni!

Mahakamani
Mtuhumiwa: Mheshimiwa hakimu, ilibidi nikagonge ukuta kuliko kumgonga ng'ombe.
Hakimu: Ng'ombe alikua jike au dume?
Mshtakiwa akajibu "sikumuangalia plate namba"
Hakimu: Ng'ombe alikua jike au dume?
Mshtakiwa akajibu "sikumuangalia plate namba"
Mgao umeme
Mtoto aliulizwa "mbwa wako alikua wapi wakati umeme unakatika?"
Mtoto akajibu "alikua kwenye giza"
Mtoto akajibu "alikua kwenye giza"
Kasuku anauzwa
Jamaa: Nauza huyu kasuku na anaongea.
Mteja: Sidhani kama anaongea mhh!
Punde kasuku akaanza kuongea kwa masikitiko "tafadhali ninunue, huyu hanipagi chakula, hanitoi nje kwenye hewa, hanipi nachohitaji"
Mteja: Sa why unamuuza wakati na kuongea anajua?
Muuzaji: Nimemchoka na tabia yake ya uongo.

Dunia ya kisasa
Maongezi ya vijana wawili yalikua hivi...
Msela: Dah leo nataka kupika ugali kwa sukumawiki ila sijui...
Mwenzake akamjibu.
Msela wa pili: Ingia google tu andika ugali...
Msela: Dah leo nataka kupika ugali kwa sukumawiki ila sijui...
Mwenzake akamjibu.
Msela wa pili: Ingia google tu andika ugali...
Tuesday, October 4, 2011
Bahiri
BAHILI: Ndizi moja sh.ngapi ?
MUUZAJI: Ndizi moja sh. 100.
BAHILI: Nipe kwa sh. 60.
MUUZAJI: Kwa sh.60 utapata maganda tu.
BAHILI: Shika hii sh.40 nipe ndizi hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
MUUZAJI: Ndizi moja sh. 100.
BAHILI: Nipe kwa sh. 60.
MUUZAJI: Kwa sh.60 utapata maganda tu.
BAHILI: Shika hii sh.40 nipe ndizi hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
Monday, October 3, 2011
Mke kabla...
Mke kabla hajafa alimtuma mumewe chumbani chini ya uvungu. Akakuta mayai3 na milioni 6. Kuuliza akajibiwa "yale mayai nimekua niyaweka kila tukifanya mapenzi sivyo"
Mume akafikiria na kusema "sio mbaya matatu tu kwa miaka 26 ya ndoa." Kisha akauliza "na zile milioni 6?"
Mke akajibu "nimekua nikiyauza mayai kila yalipokua yanajaa"
Mkubwa
Jamaa alichora mstari akamwambia mke wa mpangaji mwenzie "ukivuka tu nakubaka"" Kumbe mama yule alikua na nyege akavuka makusudi jamaa akamvutia geto kumpa tamu.
Kumbe mtoto wake alikua akishuhudia yote hayo. Mume karudi tu, mtoto akamwambia "usivuke huo mstari utabakwa kama mama"
Sunday, October 2, 2011
Maasai
Mmasai aliingia mjini na PUNDA wake, kufika town akashangaa magari yanavyo toka kasi, akaamua kumuuliza jamaa mmoja...
Mmasai: "Aisee rafiki, kwanini hisi gari nakwenda mbio sana?!"
Jamaai: "Gari zinatumia Petrol/Diesel ndio maana zinakwenda sana..."
Kesho yake jamaa akaenda SHELI na punda wake, kufika akamnyanyua PUNDA mkia. Akaomba Punda wake atiwe lita 5 za Petrol....
Baada ya dakika chache petrol si ikaanza kumuwasha yule Punda, akatoka mbio akaingia mitini.... Mmmasai akamfukuza, wapi hakumpata...
Daaah, yero akaamua karudi Sheli, akafungua mkanda, akavua shuka lake, akainama. Akamwambia muuza mafuta, "Weka lita 10, 5 diseli, 5 petroli.... si nataka masindano na mimi, lazima onesa yeye nani saidi leo...."
Ualimu kazi
Kwel ualimu kazi
Mwalimu kajamba darasan kwa aibu ikabidi achukue likizo ya mwezi 1. Baada ya kurudi kawauliza wanafunzi tumeishia wapi? wakamwambia pale ulipojamba...
Friday, September 30, 2011
Kwa kinyozi
Njemba ilienda kwa kinyozi na kuuliza "kinyozi ndevu shilingi ngapi?" Kinyozi akamjibu "400Tsh tu"
Njemba ikajibu "ok nifungie za 800Tsh"
Njemba ikajibu "ok nifungie za 800Tsh"
Thursday, September 29, 2011
Kipofu kanusa
Kipofu aliingia mgahawa mmoja na kumuambia mwenye mgahawa, "nipe uma iliyotumika ntainusa na kutoa oda kilicholiwa kwa uma hiyo"
Akaletewa na kuinusa kisha akasema "niletee viazi mviringo vya nyama ya kuku" mwenye mgahawa alichoka kwa uwezo ule.
Wiki mbili mbele akarudi, mwenye mgahawa akachukua una na kumuambia mkewe ajifutie ukeni, kisha akampa jamaa aliponusa akajibu "kumbe Nancy nae yupo hapa?"
Mwenye mke alichanganyikiwa mpk jina analijua...nye mgahawa, "nipe uma iliyotumika ntainusa na kutoa oda kilicholiwa kwa uma hiyo"

Mwenye mke alichanganyikiwa mpk jina analijua...

Ufafanuziiii
Nini tofauti kati ya Stress, Tension na Panic?
Stress: Mkeo akiwa na mimba.
Tension: Msichana wako akiwa na mimba.
Panic: Both wakiwa na mimba.
Stress: Mkeo akiwa na mimba.
Tension: Msichana wako akiwa na mimba.
Panic: Both wakiwa na mimba.
Wednesday, September 28, 2011
Wachina Part II
Wachina wawili Dar es Salaam walipata mtoto mweusi!
Mume wa kichina akauliza "mbona mtoto mweusi?"
Mke wa kichina akajibu tunaishi Tanzania, hamna umeme, mimi wa moto, wewe wa moto, mapenzi moto moto... Mtoto kaungua joto...
Mume wa kichina akauliza "mbona mtoto mweusi?"
Mke wa kichina akajibu tunaishi Tanzania, hamna umeme, mimi wa moto, wewe wa moto, mapenzi moto moto... Mtoto kaungua joto...
Subscribe to:
Posts (Atom)