Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Monday, April 25, 2011

Sharobaro

Changudoa mmoja alimuona sharobaro mmoja na kujisogeza sogeza.
Changudoa: Kaka samahani, sura yako sio ngeni.
Sharobaro akajibu ''utakua umeniona kwenye noti mpya meeen.''

Saturday, April 23, 2011

Kitu uswazi

Jamaa alikumkuta mwenzake uswahilini ameinama na akionekana kama mtu alietingwa na mawazo. Alipofika karibu akamuuliza ''una nini leo mwenzangu?''

Mwenzake akamjibu, ''nasikitika tu hapa siamini kama Prince William hajanipa mwaliko kwenye Royal Wedding - UK''

Mahari

Jamaa alipoenda kutoa posa na hii ndio mahari aliyotajiwa alete.
1. Panga la baba
2. Sime ya mama
3. Shoka la mjomba
4. Mkuki wa shangazi
5. Upinde wa shemeji na mbegu za bangi.

Friday, April 22, 2011

Mtoto akisali mbele ya wazazi na wageni

Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarinu, nashukuru kwa kuwaleta wageni hawa waliomaliza chakula changu. Naomba usiwalete tena wakati nwa kula, mbariki huyu kijana aliekua anacheza mieleka na dada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya suruali yake. Wabariki wadada walio uchi ndani ya simu ya baba ili wapate nguo, mwisho wabariki wanaume waliokuja kulala na mama wakati baba yupo safariniili wawe na kwao amen.

Tuesday, April 19, 2011

Kitambi

Mtoto mmoja akiongea na baba yake mwenye kitambi ''eti baba na wewe utajifungua kwa operation kama mama?''

Kampeni za ubunge

Mgombea: Ntawajengea daraja...
Wananchi: Mzee hakuna mto.
Mgombea: Ntachimba.

Sunday, April 17, 2011

Maziwa ya kunyonyesha

Mtoto mmoja alikua anaanza kunyonyeshwa maeneo ya karibu na mwanamke mwingine ambae nae alikua akimnyonyesha mwanae. Mambo yakawa hivi, yule mtoto wa kwanza akawa analia akililia chuchu za yule mwanamke mwingine. Mtoto wa huyo mama akawa anashangaa! Kumbe kilikuja gundulika kuwa maziwa ya huyo mama wa pembeni ni makubwa kilinganisha ya mama ake madogo (ujazo)

Sadaka

Jamaa mmoja alienda kanisani, ilipofika muda wa sadaka akamuuliza wa pembeni yake "hawapokei sadaka kwa M-pesa wakati wa sadaka?"

Saturday, April 16, 2011

Kizee na Kizee

Bibi kizee alipatwa hamu ya kufanya mapenzi akamwomba mmewe ampe huduma hiyo. Mzee akajibu tumesha zeheka kwa haya mambo sina uwezo. Bibie akamwambia basi nilambe lambe tu naniliu yangu. Asubuhi akakutwa mzee amefariki baada ya uchunguzi ikajulikana sababu ya kifo ni alilamba kitu kilichokwisha muda wake.

Mume akiwa bar

Mwanaume mmoja alienda bar na mkewe wa ndoa! Punde mume akaenda kaunta kununua vinywaji. Mwanamke mmoja anaejiuza mwili akaenda alipo kaa mke wa jamaa na kumuambia "hakikisha anakulipa pesa yako kwanza kabla ya kufanya nae mapenzi maana hua hatoagi hela"

Thursday, April 14, 2011

Ngongongo?

Mlango uligongwa mwanamke kufungua jamaa akamuuliza "una uke?"
Mwanamke akabamiza mlango kuufunga! Akamsimulia mumewe, mume akasema ntarudi mapema nimvizie akija nikae nyuma ya mlango.
Hodi ikagongwa tena, kufungua jamaa akauliza tena "una uke?"
Mwanamke akajibu "ndio" ndipo jamaa akanena "mwambie mumeo aacha kuutumia uke wa mke wangu"

Mbuzi

Jamaa mmoja alikutana na mwenzake anamkokota mbuzi wake toka malishoni, maongezi yao yakawa hiivi:
Jamaa "aisee sikukuu imekaribia huwezi niuzia huyu mbuzi nile nyama?"
Mwenye mbuzi akasema "ongea taratibu huyu mbuzi mkubwa akisikia watatoroka, huyu mwingine ye hana noma ni kiziwi."

Padre

Muumini: Padri nataka kumwacha mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisa! Padri: Si bora mkeo ni nafuu, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu.
Muumini: Heeh!
Padri: Mke wa yule mwenyekit wa jumuiya pamoja na tako lake ndio bure kabisaa! anazidiwa hata na Sister leAh!
Muumini: Atii?
Padri: Actually, kwa hapa parokiani wenye nafuu ni mkeo na mke wa yule mwalimu wa Sunday School, na kwa mbali kale kabinti ka usafi wa sakrastia. Naona hawa ndio wanajitahidi.

Wednesday, April 13, 2011

Juha na viatu vipya

JUHA kanunua viatu vipya akavivaa alipofika nyumbani kwake akamuuliza mkewe nini kimebadilika katika mwili wangu mkewe akasema hakija badilika kitu Juha akavua nguo zote akabaki na viatu akamuuliza hapo je? Mkewe akajibu hakijabadilika kitu ila naniliu tu imelala Juha akamwbia haija lala inaangalia viatu vipya

Mbio za mabomu

Sharobaro mmoja wakati wa milipuko ya mabomu ya gongo la mboto aliambiwa kimbia mabomu yanalipuka yatakuuua ndipo sharobao akajibu "siwezi kukimbia bila kuoga m.e.e.e.n"

Monday, April 11, 2011

Msibani

Kaka mmoja alienda kwa rafiki yake kufika akakuta watu wengi, kuuliza akaambiwa amekufa huyo rafiki yake alekuja kumtembelea. Jamaa akanena baada ya kuambiwa hivyo "haiwezekanikabisa! Amekuufa?"

Waliokimpa taharifa wakasema "ndio, inamaana hutuamini au?" Jamaa akajibu "hapana sio kwamba siwaamini ila aliniambia ikifika saa mbili nije tupange jinsi ya kukusanya rambirambi, sa nashangaa amejifanyisha kufa kabla ya muda tuliopanga mi na yeye"

Sunday, April 10, 2011

Boss na Sekretari

Sekretari mmoja alimuambia mchumba wake, "boss wangu anataka kufanya mapenzi na mimi, kasema atamwaga chini shilini milioni moja niziokote ntapomaliza hapo hapo na yeye atakua keshamaliza kufanya"

Mchumba wa sekretari akamuambia, "basi kama ndio hivyo mwambie afanye kwa milioni mbili nipo tayari kwa hilo"

Baada ya masaa mawili Mchumba akapiga simu kwa sekretari na kumuuliza "bado tu hajamaliza?" Sekretari akajibu "bado hajamaliza amemwaga za sarafu sio noti"

Mahari

Jamaa mmoja alienda kutoa mahari, akatajiwa atoe mahari ya shilingi milioni tano. Jamaa akashtuka na kunena "hee!!! Milioni ngaaapi? Bora ninde hapo mtaa wa jirani wenyewe wanapokea laki moja na nusu tu unabeba mke"

Monday, March 21, 2011

Kurudi shule

Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"

Friday, March 18, 2011

Kwa Babu Loliondo

Pale Mzee Mwapasile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema watu wapange mistari miwili:
Mstari mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na Mstari wa pili watu wenye HIV/AIDS.
Watu woote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.Kuona hvo babu akasema kumbe hii dawa ya Ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa! Watu wacha wapayuke,USIIMWAAGE BABUUU

Wednesday, March 16, 2011

Kwa daktari

Kijana mmoja alienda hospitali na hivi ndivyo alivyokua akipewa majibu yake na daktari, ''pole sana ndugu yangu, vile vidoti doti vyekundu kwenye uume wako sio saratani ni rangi ya lipstick. Tunaomba samahani kwa kuikata yote''

Mmasai hosp.

Mmasai mmoja alienda hospitali kuchoa sindano, alipomaliza akamuuliza nesi asliemchoma sindano, ''we hapana ona tundu huko nyuma mpaka natoboa ingine?''

Friday, March 11, 2011

Mwanamke wa Tz

Mwanamke mmoja wa kibongo alikua baa na wanaume wawili New York, mwanaume wa kwanza akaagiza kwa muhudumu "Johnny Walker single" wa pili akaagiza "Jack Daniels single" ilipofika zamu ya mwanamke kwa kujiamini nae akasema "Asha Selemani Married"

Thursday, March 10, 2011

Kuhesabu

Hasani: Jaki amefukuzwa shuleni kwa udanganyifu
Joni: Kwanini?
Hasani: Alikamatwa akijihesabu mbavu kwenye mtihani wa baolojia.

Saturday, March 5, 2011

Harusini

Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoja wa wahudumu na kumuambia "samahani mna zile pamba stick za masikioni? Sikio linaniwasha sana"

Heshima

Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!

Friday, March 4, 2011

Shanga

Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda gest, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!

Wednesday, March 2, 2011

Nyoka tumboni

Mtoto mdogo alianza kumsimlia mama yake story,' Mama nilipokuwa tumboni kuna nyoka alikuwa anaingia akawa ananitisha ananitisha halaf ananitemea mate,halaf anakuwa mpole anatoka"

Sunday, February 27, 2011

Singa Singa

Singa singa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti
Mkewe akamuliza una nini leo?
Akajibu natafuta ringtone ya matako yangu!!!

Saturday, February 26, 2011

Shule ya msingi

Mtoto: baba kwanini we na mama mliacha shule ya msingi? Baba: kwan vp mwanangu?
mtoto: jana ucku nilikusikia ukimwambia mama tumalizie la saba.