Karibu Sana.
Cheka Unenepe
Saturday, July 23, 2011
Ndege
Katoto kamoja kalionda ndege inapita angani kakaanza kusema kwa staili kama ya kuimba "ndeege ndeege ndeege ndeege" akaskuti akahisi kama anakosea akabadilisha na kusema "airplane airplane airplane..."
Friday, July 22, 2011
Ratiba ya umeme
Jamaa mmoja anaefanya kazi shirika la umeme alimuuliza jirani yake "kwani wewe huna ratiba ya umeme mpaka ulalamike kukatwa katwa?"
Jirani nae akajibu, "ratiba yenyewe imetolewa copy, halafu kumbe si ya mtaa wetu ntajuaje sasa?"
Jirani nae akajibu, "ratiba yenyewe imetolewa copy, halafu kumbe si ya mtaa wetu ntajuaje sasa?"
Mume kafa
Mke alienda Jerusalem na mumewe ki-vekeshen vekeshen.
Mumewe akafa bahati mbaya, akaambiwa kusafirisha mwili itamgharimu dola 1,000 na kuzika nchini humo dola 100.
Akachagua kusafirisha, mchungaji akamuuliza "huoni ni gharama kubwa sanakusafirisha?"
Mke akajibu: Mara ya mwisho Yesu alizikwa hapa akafufuka siku ya 3, mi sitaki mume wangu afufuke"

Muda kurudi
Mwanamume mmoja akimuambia mkewe kwenye sms "mke wangu narudi nyumbani muda si mrefu namalizia bia ya mwisho, ukiona sijarudi bado soma tena msg hii"
Thursday, July 21, 2011
Wednesday, July 20, 2011
Kampuni ya inshuarensi
Ajenti wa kampuni ya inshuarensi: Mzee, pia tunatoa inshuarensi ya uume.
Mteja: Mnafanyaje yani? Mna-replace na uume mwingine ama?
Ajenti: Hapana, inakua kama haufanyi kazi tena tunatoa huduma bure kwa mkeo.
Mteja: Mnafanyaje yani? Mna-replace na uume mwingine ama?
Ajenti: Hapana, inakua kama haufanyi kazi tena tunatoa huduma bure kwa mkeo.
Tuesday, July 19, 2011
Bilionea
Mvulana: Baba yangu ni bilionea na ana miaka 93, karibuni tu atakufa, je utakubali kuolewa na mimi?
Msichana akajibu: Hapana, sitaki.
Week baadae yule msichana akaolewa na huyo baba ake mvulana.
Mvulana akanena: Shenzi kabisa, usitoe wazo kama hili kwa mwanamke...
Msichana akajibu: Hapana, sitaki.
Week baadae yule msichana akaolewa na huyo baba ake mvulana.
Mvulana akanena: Shenzi kabisa, usitoe wazo kama hili kwa mwanamke...
Msibani na siasa
Mwanasiasa mmoja alienda hudhuria msiba, na kwa vile alikuwa mtu maharufu eneo hilo alipata wasaa wa kunena jambo kuhusu rafiki yake marehemu hali ikawa hivi alipoanza kunena jambo "msiba oyee?"
Monday, July 18, 2011
Malaika
Mtoto mdogo wa kiume kamsimulia mama yake: 'Mama unafahamu kuwa dada (house girl) kumbe ni malaika? Mama kwanini unasema hivyo mwanangu?
Mtoto: Nilimwona akiwa uchi mkono ameshika ukutani akisema mungu wangu nakuja, nakuja kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni.
Mtoto: Nilimwona akiwa uchi mkono ameshika ukutani akisema mungu wangu nakuja, nakuja kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni.
Vidonge
Mama mmoja alimuuliza mumewe "mume wangu zile dawa zangu zilizokua hapa ziko wapi?
Baba kabla hajajibu mtoto akadakia "mama nimempa mbwa wetu ameza nilisikia ukimuambia baba ni vidonge vya majira, mbwa wetu ana mabwana wengi vitamsaidia"
Baba kabla hajajibu mtoto akadakia "mama nimempa mbwa wetu ameza nilisikia ukimuambia baba ni vidonge vya majira, mbwa wetu ana mabwana wengi vitamsaidia"
Sunday, July 17, 2011
Namba mpya
Mwanamke mmoja alimpigia mumewe na simu asiyoijua! Katikati ya maongezi mwanamke akamuuliza mumewe "unajua unaongea nani?"
Mwanaume kuogopa asije akataja baadae akaulizwa huyo mwanamke uliomtaja ni nani mumewe akajibu "naongea na Juma au?
Mwanaume kuogopa asije akataja baadae akaulizwa huyo mwanamke uliomtaja ni nani mumewe akajibu "naongea na Juma au?
Friday, July 15, 2011
Kwa mganga
Jamaa alienda kwa mganga, baada ya kufanyiwa tunguli za kutosha mganga akampa dawa ya kuila ili huyu alie na shida imsaidie!
Mpewa dawa akamuambia mganga "mganga hii dawa haina tatizo?"
Mganga akajibu "sijui, nenda kaijaribu. Kama haina madhara ntaitumia kwa wengine"
Mpewa dawa akamuambia mganga "mganga hii dawa haina tatizo?"
Mganga akajibu "sijui, nenda kaijaribu. Kama haina madhara ntaitumia kwa wengine"
Betri low
Jamaa kaoa na ana kimada cha nje pia ikawa kila akipigiwa simu na kimada wake, mkewe huchukuwa sim na kuiweka kwenye charge sababu amelisave jina la huyo kimada wake BATTERY LOW!
Thursday, July 14, 2011
Kibweka msibani
Jamaa aliacha mpya msibani, alipofika na kukuta wafiwa wanalia akanena "msilie jamani marehemu kani-text muda si mrefu na yeye anakuja msibani"
Sharobaro
Masharobaro wengi walikufa gongo la mboto kutokana na majibu yao. Lala chini bomu hlo "ntachafuka men"
Panda lory" nasubiri taxi men
"Zima simu" naongea na baby men''
"Nenda uwanja wa taifa" naogopa mbu men!
Hayo ndo majibu wakati wa purukushan za kujiokoa.
Panda lory" nasubiri taxi men
"Zima simu" naongea na baby men''
"Nenda uwanja wa taifa" naogopa mbu men!
Hayo ndo majibu wakati wa purukushan za kujiokoa.
Saturday, July 9, 2011
Idadi ya kuku
Mwalime: Wekesa nikukupatia kuku mbili tena baadaye nikupe zingine mbili kwa ujmala utakuwa na kuku ngapi?
Wekesa: Tano!
Mwalim : Kweli wewe mjinga
Wekesa: La hasha tiyari niko na moja nyumbani!
Wekesa: Tano!
Mwalim : Kweli wewe mjinga
Wekesa: La hasha tiyari niko na moja nyumbani!
Wapi blauz?
Mama mwenye nyumba alipoitafuta blauzi yake bila mafanikio akamuuliza mfanyakazi wake (dada) wa ndani: "dada nguo yangu ya pink pink ipo wapi naitafuta siioni?"
Dada nae akajibu "sijui mama ipo wapi?"
Mama: Nimefanya makusudi kukuuliza nilikuona umeificha.
Dada: Na mimi pia niliificha makusudi.
Dada nae akajibu "sijui mama ipo wapi?"
Mama: Nimefanya makusudi kukuuliza nilikuona umeificha.
Dada: Na mimi pia niliificha makusudi.
Tuesday, July 5, 2011
Muwa, Uyoga na Ndizi
Muwa uliongea: Niangalie naonekana kama mti.
Uyoga nao: Niangalie naonekana kama mwavuli.
Ndizi nayo ikasema: Tubadilishe hili somo.
Uyoga nao: Niangalie naonekana kama mwavuli.
Ndizi nayo ikasema: Tubadilishe hili somo.
Cheka unenepe

Sunday, July 3, 2011
Mbwa na mzungu
Mzungu mmoja alikua anafanya matembezi ya jioni akiwa na mbwa wake akakutana na vibaka wawili, sasa kwa sababu ya mbwa kama wale wa polisi. Kilichofuata kwa vile wakiogopa mbwa walimuambia mzungu "we mzungu tunataka kukupora simu tunaiomba."
Mlo haraka
Jamaa alienda hotelini na rafiki yake wakaagiza chakula wakaanza kula:
Punde akamuuliza mwenzake, "mbona unakula haraka hivyo?"
Jamaa akajibu: Kabla sijapoteza hamu ya kula.
Punde akamuuliza mwenzake, "mbona unakula haraka hivyo?"
Jamaa akajibu: Kabla sijapoteza hamu ya kula.
Mapenzi Mapenzi
Kabla ya ndoa, mwanaume atadanganya kuchelewa kulala akimuza mchumba wake au walichokiongea kuhusu mapenzi yao.
Baada ya ndoa: Mwanaume atalala usingizi kabla hujamaliza kuongea.
Baada ya ndoa: Mwanaume atalala usingizi kabla hujamaliza kuongea.
Siku ya uhuru
Jamaa alituma meseji kwa rafiki zake woote wa kwenye listi iliyo kwenye simu yake ya mkononi akiwatakia siku ya kufurahia uhuru wa nchi yao, meseji iliandikwa hivi "If you are married please potezea hii meseji, happy independence day"
Kushikana mikono
Jamaa mmoja alimuuliza mwenzake jambo "hivi kwa nini wapendanao wanashikana mikono wakati wanafunga ndoa?"
Jamaa mwenzake akamjibu "kawaida ni kama vile mabondia wanavyoshikana mikono kabla ya ngumi kuanza"
Jamaa mwenzake akamjibu "kawaida ni kama vile mabondia wanavyoshikana mikono kabla ya ngumi kuanza"
Maisha marefu
Mwanaume: Kuna njia yeyote ya kua na maisha marefu?
Dokta: Funga ndoa.
Mwanaume: Unadhani itasaidia?
Dokta: Hapana, itasaidia kupunguza mawazo ya kua na maisha marefu.
Dokta: Funga ndoa.
Mwanaume: Unadhani itasaidia?
Dokta: Hapana, itasaidia kupunguza mawazo ya kua na maisha marefu.
Homework
Mwalimu: Homework yako ipo wapi?
Mwanafunzi: Nimeipoteza wakati napigana na huyu hapa aliekisema wewe sio mwalimu bora hapa shuleni.
Mwanafunzi: Nimeipoteza wakati napigana na huyu hapa aliekisema wewe sio mwalimu bora hapa shuleni.
Mr. na Mrs.
Mwanaume alisimamishwa na trafik:
Trafik: Mzee unajua kua ulikua spidi sana?
Mwanaume: Hapana.
Mke: Nilimuambia mimi apunguze spidi mbishi.
Mume akimjibu mke: Kelele, hayakuhusu ntakunasa vibao sasa hivi.
Mke: Na leseni pia nimeimba wee hajachukua.
Trafik anaenda muuliza mke "eti mama anakujibu ivi siku zote?"
Mke akajibu: Hapana mpaka akiwa amelewa.

Malavi davi
Vizee viwili vilikua wapenzi kwa miaka mitano, siku moja mzee akatangaza nia ya kumuoa bibi. Siku iliyofuata akaamka asikumbuke jibu gani alipewa. Akampigia simu yule bibi ajue, bibi kwenye simu akajibu "afadhani umepiga, nakumbuka nilijibu ndio ila nilikua sijui nani niliemjibu hivo"
Saturday, July 2, 2011
Sumu
Jamaa mmoja alitengeneza sumu kisha akamuambia mwenzake ambae ni rafiki yake "aisee sijui kama hii sumu ni kali, ngoja niionje halafu kama sio kali niendelee kuitengeneza iwe kali zaidi"
Mwizi
Kibaka mmoja usiku alienda kuiba cha kuiba, akafika akafungua boneti ya gari akiwa anajua mwenyewe kichwani mwake anachokuja kuiba. Wakati ameishikilia boneti ya gari mikono yote miwili juu mwenye gari na nyumba alikua akimchungulia tu....
Kisha akamuuliza kupitia dirishani yule mwizi "ya kwaakoo?"
Kilichofuata yule mwizi aliachia boneti mbio alizotoka kwenye fensi ya michongoma sijui alipitaje maana geti lilikua limefungwa.... Ila alikimbia ukabaki unacheka tu picha nzima ikivyo kawa....

Subscribe to:
Posts (Atom)