Karibu Sana.

Cheka Unenepe

Sunday, July 3, 2011

Malavi davi

Vizee viwili vilikua wapenzi kwa miaka mitano, siku moja mzee akatangaza nia ya kumuoa bibi. Siku iliyofuata akaamka asikumbuke jibu gani alipewa. Akampigia simu yule bibi ajue, bibi kwenye simu akajibu "afadhani umepiga, nakumbuka nilijibu ndio ila nilikua sijui nani niliemjibu hivo"

No comments:

Post a Comment